Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,613
mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda
 
Bebii, please don't go. Vumilia tafadhali. Ujue humu kuna watu wa kila tabia na wa kila malezi. Bila kutambua hilo utaumia sana. Pole sana bebii
 
mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda
Bebii jamani sweetie nani kakutukana tena bana? tema hapa nimchape!
 
mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda

nani tena huyo kachafua hali ya hewa
Ignore him/her na achana nae bana kwani matusi yatakufanya upoteze kilo moja
ndio utaumia ila just take it easy
 
<b>mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda</b>
“One out of four people in this country is
mentally unbalanced. Think of your three
closes friends; if they seem OK, then
you're the one.”
 
jamani nani huyo beibii.. Jamaaanii tulia.. Tulishakuzoea...
 
Bebi.. Naona JF huijui vyema.
Unaweza kutoka nyumbani kwako ukiwa umekwazika, ukaja JF ukapata faraja ya ajabu.
Pia waweza kutoka kwenye mihangaiko yako, ukiwa na furaha tele ukaamua kuingia JF, mara anatokea Mtu kama Mwita 25, au Malaria sugu na kukuharibia kabisa siku yako.
Ukiwa JF vumilia kila neno linalovugumishwa kwako.
 
Pole mpendwa, yaani humu kuna watu wana akili. Bora wewe umetukanwa. Kuna wengine washatendwa. Jipe likizo siku mbili tatu hasira ziishe urudi.
 
hili jukwaa si rahisi kama unavyofikiria, na kama ni kutukanwa unaogopa basi jifunze kutomfanya memba wa mmu asikutukane kwa kupost yasiyotukanisha
 
mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda

pole bebii...
sijui ni tusi gani umekumbana nalo, ila naomba uwe unasamehe wa2 wa hivyo hupotezi chochote ukifanya hivyo!!!i&i
 
usiniambie inamaana hapa ni zaid yatuyaönayo kwa maandishi
Pole mpendwa, yaani humu kuna watu wana akili. Bora wewe umetukanwa. Kuna wengine washatendwa. Jipe likizo siku mbili tatu hasira ziishe urudi.
<br />
<br />
 
Uvumilivu ktk Maudhi ni kipimo cha ukomavu kiakili penye furaha kamwe machungu hayakosekani
 
<b>mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda</b>
<br />
<br />
Pole sana bebii! Jamani don't go bwana sasa unataka uende wapi jamani wakt hapa ndo nyumbani samehe2 tuendelee na life!
 
wapotezee tu bebii....JF ni tamu sana....ukitoa hivyo vipapasi papasi vidogo vinavyokukwaza.....vipotezee bana.....tuendelee......hayo ni mambo ya kawaida sana humu mbona....yanazoeleka.....
 
Pole Bebii kwa hao waliokukwaza.

Cha msingi ni kuwapotezea tu na maisha yaendelee, elewa tu hapa JF kuna members wenye mitazamo tofauti na tabia mbalimbali vilevile.

Uhuru wa kutoa maoni wakati mwingine unatumiwa vibaya na baadhi yetu, na hili linachangiwa sana na utaratibu wa kutokua na identity halisi ya baadhi ya members, na zaidi ya yote, hakuna interview au qualificatins za kuwa member bora ujue kusoma, kuandika (kidhungu kidogo), kutumia computer basi tunajiunga tu.

Mimi naamini kuendelea kuwepo JF bado kuna faida nyingi zaidi kuliko kuiacha kwasababu ya hao wachache wanaotumia vibaya uhuru ulopo.
Kuna members humu wana busara za ajabu hadi mtu unatamani ukutane nae ili muongee zaidi na wanasaidia sana kuonyesha umuhimu wa JF.

Usiondoke bwana, wengine tumepunguza sana kukaa vijiweni kwaajili ya breaking news pia tunajifunza mambo mengi sana hapa. Mwenzio ofisini naonekana bingwa wa latest news hadi wananishangaa coz siendi mtaani wala sina gazeti lakini nikishusha news wanapagawa kuona iko kwenye media baadae.

Pia kuna member mmoja alipatwa na msukosuko ktk safari yake siku moja akaingia JF kupata maoni na msaada, members waliungana nae kumuombea na akafika salama (somebody Elli). Kwahiyo JF bado ni nzuri ukiacha hao wachache wanao wakwaza wenzao.

Ohooo...nimeandika sana dada wewe, hebu nisikilize basi usiondoke sawa ''swetie''
 
ur a woman love n as women we are made for tough stuffs, be strong n keep going we still need u here plz dont go bebiii.
 
Back
Top Bottom