Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Mheshimiwa Mchungaji Msigwa alikuwa so right aliposema TATIZO TANZANIA AKILI NDOGO INAONGOZA AKILI KUBWA, wakati ukweli is the OPPOSITE inatakiwa kuwa.... sasa mtu kama Mwigulu eti ndio think tank ya Magamba unategemea nini, na hoja nyepesi na za kitoto kama hiyo hapo juu? Mungu tusamehe bure...
 
uwezi sema ukweli...usemsha zohea siasa zakifitina, ungo,uzangiki,chuki yani siasa majitaka...hivyo basi ww ni adui number moja wa vijana na maendeleo yao...napata shida ni kijana gani anae penda maendeleo yake na taifa lake aje aombe ushauri kwako
 
Kaka wewe nawe husomeki kwa usahihi kama jinsi kakio Mwigulu anavyo someka. Rudi hapo juu usome vizuri akili ikiwa imetulia uone jinsi ombwe la ki-mantiki linavyo jidhihirisha.

Kakio ndiyo nini?

Hivi na wewe ni Chadema? Mohamedi na Chadema wapi na wapi? Bora ungebaki chama chako cha zamani CUF.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Mwigulu usidhani great thinkers wote ni hamnazo kama wewe na masalia, kuthibitisha hili rejea hiki kipande cha post yako nanukuu “Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu”. Ni dhahiri hiki kipande kinazua sintofahamu ; unadai hukumuona Dr. Slaa na huna uhakika kama na yeye alikuona, cha kushangaza umesahau ulichokiandika na kudai ulikuwa njiani na siyo hotelini (New Africa) na alipita bila attention ya watu, Je ulijuaje ya kuwa amepita ilkhali umeshasema hukumuona? ni mtanzania gani atakubaliana na huu upotoshaji wako.

Nashawishika kusema either unamatatizo ya mtindio wa ubongo au umekurupuka kama kawaida yako.

​
 
Hapa sasa unaweza kupima anachosema kama ni kweli au la.Maana hakumwona lakini anasema alipita bila attention ya watu.Wana falsafa chambueni sentensi hizo, maana Mwigulu ni mchumi daraja la kwanza hakusoma philosophy.Hivi ni kweli a verified user?Au jina tu kama langu hapa JF?
 
Hiyo kwenye RED na wewe ni nini?. Usipende kuwanyoshea wenzio vidole haraka haraka. Sisi ni binadamu na mapungufu ndiyo yanayotufanya tuwe wanadamu. Siwezi kukwambia hilo ni pungufu la kimantiki kwa sababu uwezo huo sina.

Ni angalizo tu.

Huyo masalia wa CUF katumwa Chadema.
 
Acha kukurupuka wewe!

Ukisoma vizuri na kwa utulivu utagundua kwamba, Mwigulu hakumuona huyo Dr. Slaa na hata kama ni kweli huyo Dr. Slaa alikuwepo hiyo sehemu basi hakupata attention yeyote kwasababu kama Dr. Slaa angepata attention ya watu, Mwigulu angemuona huyo Dr. Slaa.

Mnashindwa kuelewa vitu vidogo namna hii ndiyo maana hata huyo Dr. Slaa anawapelekesha kama misukule. Kila kitu anachokisema Dr. Slaa mnakishabikia bila hata ya kuhoji.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mmh mbona kama wewe ndumira kuwili "bila kujipima na kutafuta utayari ju ya taifa lako simama kwenye haki yenye ukweli maana utakulinda" profesa wangu chachage R.I.P
 
Hiyo kwenye RED na wewe ni nini?. Usipende kuwanyoshea wenzio vidole haraka haraka. Sisi ni binadamu na mapungufu ndiyo yanayotufanya tuwe wanadamu. Siwezi kukwambia hilo ni pungufu la kimantiki kwa sababu uwezo huo sina.

Ni angalizo tu.

Mkuu kama neno "Kakio" hulijui nenda kamuulize mdogo wako wa darasa la kwanza.
 
Ule ushahidi wa Video dhidi ya Chadema kuhusu kupanga mauaji nchini lini utauwakilisha kwa vyombo husika ili ufanyiwe kazi!?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-tuhuma-dhidi-ya-chadema-4.html#post5467790

Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
 
Kakio ndiyo nini?

Hivi na wewe ni Chadema? Mohamedi na Chadema wapi na wapi? Bora ungebaki chama chako cha zamani CUF.
Ila Ritz na CCM inakuwa sahihi? Kikwete akimaliza muhula wake utarudi CUF?
 
Huyo masalia wa CUF katumwa Chadema.

Nimeshangaa anaangalia vitu vidogo vidogo na kujisahau kama na yeye ni binadamu. God naye anavyofanya kazi yake, amempiga kofi kumuonyesha kama naye anaweza kukosea kama binadamu mwingine.
 
Kakio ndiyo nini?

Hivi na wewe ni Chadema? Mohamedi na Chadema wapi na wapi? Bora ungebaki chama chako cha zamani CUF.

Kwa nini tukisema magamba ni waasisi wa udini mnakataa? Pamoja na maafa yanayotokea hivi sasa bado vichwa ngumu mmepigwa upofu? Kweli madrasa ni noma!
 
Mkuu kama neno "Kakio" hulijui nenda kamuulize mdogo wako wa darasa la kwanza.

Mkuu Sina mdogo wangu anayesoma darasa la kwanza labda wewe unisaidie una maana gani. Hata hivyo, mimi huwa siughulishi ubongo wangu kwa vitu vidogo kama hivi.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
Naona hawa jamaa wanajianika wenyewe. kazi kwao.
 
Mkuu Sina mdogo wangu anayesoma darasa la kwanza labda wewe unisaidie una maana gani. Hata hivyo, mimi huwa siughulishi ubongo wangu kwa vitu vidogo kama hivi.

Kwa maneno mengine ni kuwa alichokiandika ni sahihi ila wewe msamiati umekupitia kushoto.Mpm akueleweshe badala ya kuponda.
 
Back
Top Bottom