Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
Ungekuwa unawajibika kujibu hivi na kwenye mambo ya msingi labda tungekutofautisha kidogo na JK, lakini yale yale...mambo madogo madogo ndio mnayoyapata uzito. Mbona hujasema kitu kuhusu uhuni mliofanya bungeni kuzima hoja ya Mbatia, Matokeo mabaya ya Kidato cha 4 na kutoweka kwa amani huko Zanzibar na Geita? Nataka ujibu kama Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
umesema kweli mkuu unajua type ya kina Nchemba kwenye siasa za Tanzania ni majanga matupu.