Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,243
Ndugu wenzangu hakika jana nimejua kweli nyama ya kitmoto inapendwa
bar nyingi za sinza zilianza kufurika watu wa kila aina tofauti na hapo nyuma mwezi mmoja uliopita...hii inaashiria mwanzo wa baraka za biashara umefunguliwa rasmi....hakika idd ya mwaka huu imewavutia wengi.....
R.makunga anaripoti siku ya jana zile sehemu za kuhifadhia wageni jana zilikuwa full booked mpaka usiku wa manane...pitapita zinaonyesha sehemu za kuanzia mapambano mpaka kijiweni zilikuwa ziko occupied kila sehemu.....kuonyesha furaha ya iddi...,