Sikukuu ya Eid huko USA huwaje?

Sikukuu ya Eid huko USA huwaje?

Status
Not open for further replies.
Naona huu uzi umeshapata majibu kuwa ni ndio sikukuu ya Eid husherekewa USA na dunia nzima.
 
Sasa ikiwa USA hawasherekei na wewe usisherekee, acha kukubali kutawaliwa na wamarekani, jikomboe muafrika
 
Yaah huyu anawaza "pilau hili limetolewa kwenu kwa msaada kutoka Marekani"
 
Tanzania ni Nchi yenye Uhuru wa kuabudu acha ulimbukeni wewe kwani Marekani ndio nani? Wahusika Jf funga Uzi wa ugombanishi kama huu
 
Acha uongo abu dhab haitambui x-max, wao wana public holiday 9 tu, na hiyo kitu x-max haipo. l
So hapo ni mbagala na hao watu ni wamachame?

soma kilichoandikwa hapo alfu unaijua AFP?
 
niko rock city huku hakukua na sherehe yoyote watu wameendelea na shughuri zao kama kawaida ila kuna mwislam 1 hapa katoa bufa lake nje anapiga disko la taarabu wasichana wanakata mauno
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom