USA mbali huko!! hapo SAUZI hata hawaitambui.
Xmass inasherekewa Dunia nzima...Jina la Bwana lihimidiwe..
Why not?
![]()
Opulent: A guest walks past the $11million Christmas tree in the Emirates Palace hotel atrium in Abu Dhabi
![]()
Acha uongo, saudia arabia na x-max wapi na wapi, hukuna kitu kama hicho, watu sio wajinga wanasoma na kufuatilia mambo. nenda kawadanganye wadogo zako nyumbani.Mkuu Nguvu.
Sio kusheherekea tu. Wanafunga hadi biashara zao na kwenda mapumzikoni.
X-mas inasheherekewa na dunia nzima
wewe uko mbozi au uko wapi? mbona waliofunga wanasheherekea tu, au unataka wapite na kipaza sauti.yaani huku mbeya hakuna dalili yoyoye ya sikukuu
chrismas ni dunia nzima.
Xmass inasherekewa Dunia nzima...Jina la Bwana lihimidiwe..
Mkuu Nguvu.
Sio kusheherekea tu. Wanafunga hadi biashara zao na kwenda mapumzikoni.
X-mas inasheherekewa na dunia nzima
Labda dunia ya mama yako
sasa mama yangu kaingiaje?
Kaingia hivyo hivyo mkui
chrismas ni dunia nzima.
yaani huku mbeya hakuna dalili yoyoye ya sikukuu