nipoteze.. naona unanitafutia ban.
hivi saudia arabia wanasherehekea x-mas
Habari za mchana wana bodi
Eid Mubarak.
Ningependa kujulishwa USA nao wana pumzika (Eid mosi na Eid pili) kama tufanyavyo sisi huku wa Tanganyika na Zanzibar?
Marekani ndio nani? Wanapanga wao sikukuu? Wana sabasaba? Tumia akili kuleta uzi jf
Swali lako ni zuri mtoa mada lakini kuna watu waliingiza 'udini' .Kwanza nianze kwa kusema USA kuna waislamu wakazi wenye vibali vya kuishi kule zaidi ya 2.8ml mbali na wale wanaokwenda kutembea,hivyo Eid inatambulika sana tu ila suala la public holiday kama ilivyo hapa TZ sina uhakika.Kuna jamaa katuletea picha ya x-mass tree iliyokuwa Abu dhabi akitaka tuamini kuwa X-Mass yenyewe ni ya dunia nzima,ni kweli inatambulika lakini siku ya X-mass au Pasaka sio public holiday katika nchi yoyote ile ya GCC[UAE,KUWAIT,OMAN,KSA,QATAR,BAHRAIN]na nyingine za kiislam japo inasherehekewa.
Hakuna kitu kinaitwa Xmass saudi arabia,pakistan,iran.msitiane ujinga nyie makafir