ahaaaaa hiyo kali mwambie sio kuzika tu hata wao wanakufa!Sihitaji maombi. Ila nakudai na wewe unajua kabisa ila unanipotezea! Poa. haina noma! Haaaa haaaa
Mimi nilidhani MABEBS WA UKWEEEE . . . . HUWA HAWAZIKI WADAU - by Lemutuz!
ahaaaaa hiyo kali mwambie sio kuzika tu hata wao wanakufa!
Smile kila la kheri mwaka 2013 uwe wa amani.furaha na mafanikio
Mkuu watu8 tanga umerudi salama...., ramani inasemaje analogia tunazimia wapi na digitali tuiwashie wapi?? tunahesabu saa tu
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!
Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.
Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.
Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.

Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.
Naamini Mungu ni mwema atatubariki.
Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya