Sikubali kabisa

Ha ha haaa...
acha tu smile..
ila kwa msaada wa hii mood yako ya mwaka mpya hakyanani itawezekana..lol
ahahaaaa mambo mengine magumu aisee @Lara ataniendea kwa mganga
sitaki kulogwa mie wacha nipumue mwaka huu
 
mengine ni mipango ya mungu na yako nje ya uwezo wetu wa kibinaadamu!mengine kweli,pambana nayo na usikubali!tuache yaliopita,twende kazi na 2013
 
Mdogo wangu Smile,

Mie nimeshindwa kusoma ulichokiandika.....

Naomba tuwasiliane unisomee....

Sawa mama,

......Kila la heri kwenye mwaka mupya wa 2013!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hazikwepeki lakini wengine tunazipalilia mkuu.

ni kweli kabisa,lakini baada ya kupalilia na kuvuna maudhi badala ya furaha,amani,na faraja,hakika usemi wako wa sikubali kabisa,nauunga mkono!usikubali kabisa smile.
 
Umefanya uamuzi mzuri mpenzi. To be happy is a choice. Chagua kufurahi, kuwa positive na umshukuru Mungu for a tough skin. Mwaka ujao uwe wa furaha, amani, upendo na ndoto zako kukamilishwa. Kila la kheri.
 
Smile; nakudai sikudai?
Unanidai sikudai?
 
Last edited by a moderator:
Umefanya uamuzi mzuri mpenzi. To be happy is a choice. Chagua kufurahi, kuwa positive na umshukuru Mungu for a tough skin. Mwaka ujao uwe wa furaha, amani, upendo na ndoto zako kukamilishwa. Kila la kheri.
thanks dear nimesikia story zako tanga kule eheheeee
 
Mdogo wangu Smile,

Mie nimeshindwa kusoma ulichokiandika.....

Naomba tuwasiliane unisomee....

Sawa mama,

......Kila la heri kwenye mwaka mupya wa 2013!!

Babu DC!!
ngoja nitafute ticketi ya ratco nirudi tanga kukusomea babu
 
Kila kitu nimefunga. hata kama namdai mfano Nyani Ngabu -mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi

Arooo! UKwani unanidai? Halafu ujue hata kama unanitolea mfano kuna watu (humu) wako gullible enough kuamini kuwa kweli unanidai wakati hata kujuana hatujuani, au hata kuandikiana barua pepe hatujawahi.
 
Umesema mwaka huu hudhulumu mtu, Hata wale wanao dai vi dates vyao utaweza kuwalipa.
 
weee mkuu wacha kunikana hadharani !
 
Umesema mwaka huu hudhulumu mtu, Hata wale wanao dai vi dates vyao utaweza kuwalipa.
walinikopesha ama walinipa bila kushurutishwa wenyewe kwa hiari zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…