Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,764
- 46,273
Moja ya tukio lilompatia ushujaa na heshima John Shibuda, ni siku ile wabunge wa Chadema walipotoka nje ya ukumbi wa bunge wakati rais akihutubia bunge.
Wabunge wa Chadema walivyotoka Shibuda aligoma na akaenda kwenye sherehe za kuapishwa rais huku Chadema wakisema kuwa hawamtambui rais na nchi haitatawalika.
Siku hazikupita Chadema wakaomba mualiko Ikulu kuonana na rais Kikwete.
Hapo ndio watu makini wakamuelewa Shibuda, rais ambaye mmetangaza kuwa hawamtambui wanaomba mualiko wa nini.