Bugota
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 265
- 145
Shibuda anafahamika kuwa ni mmoja wa Makachero wa siku nyingi wa CCM na alitumwa pia kuja Maswa kummaliza aliykuwa Mbunge wetu Dr. Pius Ng'wandu Yasebasi.
CHADEMA wanatakiwa kuendelea kuandaa mtu makini wa kuja kurithi jimbo la Maswa Magharibi maana Shibuda muda wake umekwisha lazima atoswe mapema jamani.. Tunao wasomi kibao Maswa wanaokubalika na wenye maono ya kuleta maendeleo Maswa na si John Magale Shibuda ambaye hajafanya lolote ikilinganishwa na mambo Mazuri aliyotuachia Mzee wetu Dr. Pius Ng'wandu Yasebasi....