Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

ana uroho wa kula kula, na ameona CDM akuna hela za kifisadi za kupeana posho ovyo ovyo ndo akakumbuka kule alikotoka, we angalia hata jinsi alivyo ng'ang'ania posho za sitting allowance kwa wabunge.....wakati CDM wanazipinga yeye ndo udenda unazidi kumtoka......by the way mtu ukisha mjuwa akuumizi kichwa.... nani atamshangaa shibuda kwa kauli alioitoa juzi???
 
Ule ni mkutano wa moja ya chama kikongwe na kikubwa barani Afrika; walikuwepo wanadiplomasia kutoka nchi kadhaa; Dr Slaa hawezi mikutano kama ile amezoea kusimama kwenye majukwaa kusema uzushi na uwongo; game ya Kizota kubwa ni wachezaji mahiri wenye viwango vya kina Lionel Messi; cristiano Leornado, Ibrahimovic tu wenye uwezo wa kusimama kwenye mikutano ile na kusema maneno ya hekim; Dr. Slaa kiwango chake ni Mrisho Ngassa hapawezi!

Chama
Gongo la mboto DSM

Ooops......what utterances.......anyway ndivyo ''wasemaji'' wa CCM mlivyo.....mpaka mnaambiwa mna akili za samaki
 
Niliandika kwenye gazeti moja nikitoa hofu yangu kwamba Shibuda ni Mamruki wa CCM, kwa sababu tuliwahi kufikia hoteli moja Dodoma, the way alivyokuwa anaongea kuhusu chama chake CDM akikifagilia CCM, haikuniingia akilini lakini wengine walibeza hofu yangu hiyo wakamwita Shibuda ni mtu mdogo sana hawezi kufanya chochote kwa CDM sasa wataamini watakapoangukia pua. Shibuda ni machine, kwetu Kagera tunaweza kumlinganisha na mdudu anayekula migomba anaitwa ekiuka, anatafuna mizizi chini kwa chini utashitukia mgomba unaanguka.
 
ukubwa wa pua si wingi wa makamasi pia ni bora kuwa uchi wa nyama kuliko kuwa uchi wa akili,kama CCM ni kwema kwanini alipakimbia na kutaka mabadiliko.Mbona anakuwa anasahau matamshi yake kila mara,huyu ndiye aliyesema CCM itamfia JK,leo anageuka amegeuka,tumueleweje anakuwa kama gunia linakunja watu watakavyo!

Chadema walimpokea Messi kutokana na kiwango chake; hivi sasa amegeuka tishio kwa katibu na mtandao wake wanahaha namna ya kummaliza lakini wameshindwa na fitina zao; ugonjwa wa fitina umewaingia hadi makamanda safari_ni_safari hana jibu kila ukimuuliza Messi kakosea wapi kwenye hotuba yake jibu hana zaidi kumwaga rap michosho; na wewe kamanda rejea alichosema Messi ni wapi kakosea?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Niliandika kwenye gazeti moja nikitoa hofu yangu kwamba Shibuda ni Mamruki wa CCM, kwa sababu tuliwahi kufikia hoteli moja Dodoma, the way alivyokuwa anaongea kuhusu chama chake CDM akikifagilia CCM, haikuniingia akilini lakini wengine walibeza hofu yangu hiyo wakamwita Shibuda ni mtu mdogo sana hawezi kufanya chochote kwa CDM sasa wataamini watakapoangukia pua. Shibuda ni machine, kwetu Kagera tunaweza kumlinganisha na mdudu anayekula migomba anaitwa ekiuka, anatafuna mizizi chini kwa chini utashitukia mgomba unaanguka.

John Shibuda ni mwanasiasa alivyohama kwenye chama cha siasa CCM na kuhamia Chadema matarajio yake yalikuwa ni kuwa na angeendeleza harakati zake za kisiasa matokeo yake hadithi aliyoikuta Chadema ni tofauti siasa za Chadema ni za watu wawili tu wapambe wao; alichokuwa akisema ni ukweli mtupu; na ndio sababu si mwenyekiti wala katibu mwenye uwezo wa kumkabili wanaogopa uchafu wao utawekwa hadharani.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kinachonishangaza mimi ni pale watu wanapolitumia hili neno la..."UKOMAVU WA KISIASA VIBAYA"..yaan chama kinafanya mikutano yake ya ndani kujadili mambo yanayohusu mstakabali wa hicho chama against wapinzani wao halafu wakualike wewe mpinzani uende halafu useme ni ukomavu wa kisiasa...hata kichaaa atajua tuuu kuna uozo unaoendelea..ila kwangu mimi sina wasiwasi kwani naamin CDM ni chama makini na kinaona mbali saana kuliko wengine wafikiriavyo,kinajua nini kinafanya...halafu unapomuweka Shibuda kama ndo mess wa CDM sijajua unafikiria kwa kutumia akili gani???sijachangia kiushabiki ila kiuhalisia..
 
Messi amekueleza wazi upinzani si uadui; ndio demokrasia yenyewe wapi amekosea?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Utajaza mwenyewe kama wa maji baridi au maji chumvi; uamsho hana bao narudia ni wapi Messi amekosea kwenye hotuba yake?

Chama
Gongo la mboto DSM

Ajira za watoto

8E9U5922.JPG
 
Sawa na kumualika jirani yako na mkewe kwenye tafrija nyumbani kwako halafu mke wa jirani akusifie kwa hotuba '' Jirani wewe ndio mwanaume wa maana kabisa mtaani hapa mwenye akili nyingi na utajiri mkubwa kabisa kuliko wanaume wote mtaani hapa''............sijui mume atajisikiaje......anyway mtoa thread na Shibuda must be birds of the same feather

kweli kabisa, hata kama ni ukweli lakini anakipunguzia kura chama!
 
Ule ni mkutano wa moja ya chama kikongwe na kikubwa barani Afrika; walikuwepo wanadiplomasia kutoka nchi kadhaa; Dr Slaa hawezi mikutano kama ile amezoea kusimama kwenye majukwaa kusema uzushi na uwongo; game ya Kizota kubwa ni wachezaji mahiri wenye viwango vya kina Lionel Messi; cristiano Leornado, Ibrahimovic tu wenye uwezo wa kusimama kwenye mikutano ile na kusema maneno ya hekim; Dr. Slaa kiwango chake ni Mrisho Ngassa hapawezi!

Chama
Gongo la mboto DSM

Ccm nambari one.
 
Shibuda, Mrema na wapinzani wengine waliohudhuria mkutano mkuu wa CCM, Hawakwenda pale kuwakilisha vyama vyao vya upinzani, bali walikwenda pale kama wanachama hai wa CCM wenye kazi maalum.
Kwa kuwa wanatekeleza haki yao ya msingi kama mwanachama mtiifu wa ccm, watahudhuria kwa stahili yoyote ile mradi wawepo katika kupanga na kutekeleza mikakati ya CCM kuua upinzani.

Mkuu Michael huo ni ukweli usiopingika, hao kina Mrema kina Shibuda ni wanachama hai wa CCM ( sleeping agents) wanatumika pindi wanapo hitajika!!! Hao wasituzuge ni wa kwao!!!

Ni bora kuliko cha samaki

kama kichwa cha panzi umekuwa bora basi Chadema mmekwisha; Hujui kama samaki anakili nyingi? Hivi sasa US Navy wanawafundisha Dolphins kutegua mabomu baharini angalia Discovery channel utaona na jinsi gani samaki wanahekima kumzidi Amani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama:
Kinachomfanya Shibuda awe Messi nini? Mtu hawezi kuwa everything hata malaika hawawezi kuwa kila kitu ndio maana kuna wanaomfuata Mungu wa kweli na kuna walihasi wakamfuata mwasi mkubwa Lucifer. Hivyo neither angels nor human beings can be everything. Hivyo basi pamoja na thread yako nzuri ebu funguka tuambie ni to what extent Shibuda anakuwa Messi. What are the variables ambazo mojamoja au all jointly make Mheshimiwa Shibuda kuwa Messi. As you give us that framework don't end there, reveal to whom do you compare him with? Na tija yake nini kwa mustakabali wa Taifa la Tanzania kisiasa.
 
kama kichwa cha panzi umekuwa bora basi Chadema mmekwisha; Hujui kama samaki anakili nyingi? Hivi sasa US Navy wanawafundisha Dolphins kutegua mabomu baharini angalia Discovery channel utaona na jinsi gani samaki wanahekima kumzidi Amani

Chama
Gongo la mboto DSM

Na toka lini Dolphin (POMBOO in Swahili) akawa samaki?....wewe kweli akili ya Samaki

Dolphin
Taxonomic Classification
Kingdom :Animilia
Phylum :Chordata
Class :Mammalia(not fish)
Subclass:Eutheria
Order :Cetacea
Suborder:Odontoceti
Family :Lipotidae
Genus :Lipotes
Species :L. vexillifer
 
Naona unamwaga bongo flavor tu! Messi kakosea wapi? Amesema maneno ya mtu mzima Messi ana uwezo mkubwa kuliko hata katibu mkuu wako; ameongea kama mwanasiasa siyo katibu anachojua ni fitina; uwongo na majungu

Chama
Gongo la mboto DSM

Acha njaa zako wewe najua unajaribu kuonyesha ccm wamewafanyia wema watanzania lakini ukweli utabaki pale pale ccm ni wahujumu rasilimali za watz na walaghai wakubwa. au unataka ukuu wa wilaya nini???? umechelewa uteuzi ulishapita!!!!!!
 
Back
Top Bottom