Acha njaa zako wewe najua unajaribu kuonyesha ccm wamewafanyia wema watanzania lakini ukweli utabaki pale pale ccm ni wahujumu rasilimali za watz na walaghai wakubwa. au unataka ukuu wa wilaya nini???? umechelewa uteuzi ulishapita!!!!!!
Mkuu njaa sina Shibuda aka Lionel Messi anatoa ukuu wa wilaya? Jadili maneno ya hekima ya Shibuda!
Chama
Gongo la mboto DSM