Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, May 31, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kimechoshwa na kauli tata za Shibuda na siku zake zinahesabika ndani ya chama.

  Hayo yanesemwa kwa nyakati tofauti katika mikutano ya chama chao mikoani walipoulizwa na wanananchi. Kati ya walionyeshwa kuchoshwa na kauli za Shibuda ni Tundu Lissu na Mbowe

  Source: Mtanzania
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wamtimue haraka akawe mbunge wa mahakama
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kalipwa ubwabwa na nyama tu kwa kazi ya upandikizi aliyopewa iliyomshinda kabla hajaianza..he is stuck in the middle!
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Anapishana na upepo maskini
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  shibuda ni gamba kuu alivuliki ni kama lile la kobe ukilivua nae anakufa ngoja alejee kwenye dini yake ya mafisadi
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  walifukuze hili gamba
   
 7. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Yuko kikazi zaidi Chadema. Anaijua kazi yake ni ipi aliyotumwa kuifanya huko na atahama akiimaliza.
   
 8. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Akifukuzwa,AMEONEWA!!
  Akiachwa,AMEOGOPWA!!
   
 9. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Shindwa Shibuda Shindwa..na uTOKE Chadema Tokaa..huna mamlaka ya kuvuruga,rudi kwa aliyekutuma..SHINDWA SHIBUDA
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  labda aende TLP ndo atafanya hiyo kazi aliyotumwa sio CHADEMA...
   
 11. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  f***ck you!beans and rice soon of magamba.
   
 12. T

  Topetope JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nafikiri cdm.wasitumie nguvu sana kwa shibuda kwanza nikiweka pandikizi jimboni kwake.akiisha aishe moja kwa moja
   
 13. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  mkuu una akili sana.safi
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Niliposoma heading nikajua Chadema wamemfukuza Shibuda kumbe maigizo tu...Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Shibuda hata siku moja Shibuda ni Kamanda sio diwani wa Arusha utamfukuza kwa barua.
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,000
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  miaka 2 tu ameshatibua mambo namna hii, akiachwa miaka 3 iliyobaki si ndo ataharibu kabisa,
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Anazo tabia Kama za popo huyu mtu,bora aondolewe.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  CHADEMA haina uwezo wa kumfukuza Shibuda.

  Nakuuliza mleta mada, Mchagga anaweza kumfukuza anaemuingizia fedha? Maawee!
   
 18. e

  environmental JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  you will never tired of democracy tundu acha kuchemsha
   
 19. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Ni kweli inahitajika busara kidogo tu kummaliza huku kukiwa na matayarisho mbadala jimboni kwake, CDM wasisubiri 2015 bali wanachotakiwa ni kuanza kumpekecha taratiiiibu kote alikoshika ili akidondoka basi asinyanyuke tena, CCM kwenyewe hawamtaki kwani wanamjua alivyo kinyonga ndumila kuwili, Mwanzoni Shibuda alivyokuwa anahangaika akiwa ndani ya CCM kugombea nafasi mbalimbali na kuzikosa mie nilikuwa namhurumia sana kumbe ilikuwa haki yake,

  Shibunda hana faida na chama wala wapiga kura wake bali yeye huwaza ntakunywa pombe na nani ndani ya chama au ntakunywa pombe na mpiga kura yupi na sio kuwazia matatizo ya wapiga kura wake na ndio maana akakomalia posho bungeni utafikiri kitu posho ni mama yake.
   
 20. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Avue GWANDA avae GAMBA! Maana ameamua kudandia meli inayozama.
   
Loading...