Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

Niliposoma heading nikajua Chadema wamemfukuza Shibuda kumbe maigizo tu...Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Shibuda hata siku moja Shibuda ni Kamanda sio diwani wa Arusha utamfukuza kwa barua.

Kama ambavyo CCM imeshindwa kulivua gamba la mapacha waliobaki?
 
CHADEMA haina uwezo wa kumfukuza Shibuda.Nakuuliza mleta mada, Mchagga anaweza kumfukuza anaemuingizia fedha? Maawee!
Akishatimuliwa, usisite kuleta masaburi yako humu. Hiyo akili si yako peke yako, unatuonyesha picha ya kwenu mlivyo na uwezo kiasi gani wa kujenga hoja.
 
Chadema msiogope kumtimua shibudaaaaaaaaaaaaaa!! Mpigeni chini kauli zake zinawaangusha imani wanachama!!
 
wakati anatoka ccm mlipokea kwa shangwe mkasahau kuwa kunguru hafugiki yy yupo kikazi zaidi, hilo ni fundisho tunalopata kwa wanasiasa wetu uchwara wa tanzania, wanafikiria madaraka zaidi kuliko mahitaji ya wapiga kura wao tujifunze kuwa kila aliyevaa joho zuri si tajiri
 
Jamani

Shibuda ni Shushushu wa CCM na kaenda CDM kufanya kazi maalumu ambayo ni .............Kuuza ramani ya Vita ya CDM kwa hawa Magamba CCM.

Anatoa siri nyingi sana tena za ndani za CDM na kuzipeleka CCM

Viongozi wa CDM kuweni makini sana na huyu STD 7.....akili hana anachooongalia ni hilo Tumbo lake.


Timueni hiyo takataka haraka ka sivyo Siri na ramani za Vita anazitoa kwa Magamba CCM
 
Hana heshima na ninaihulumia familia yake kwani ameifanya izomewe kila pahala kwa kuzaliwa na baba *****.
 
Hopefully na yeye huenda ameshasoma alama za nyakati, unless awe na kiburi!
 
Sisimizi akitumbukia kwenye glass ya maziwa unamwaga maziwa au unamchomoa sisimizi na kuendelea kunywa maziwa? Shibuda ni sisimizi ndani ya CDM. MCHOMOENI AKIFIE HUKO.
 
Ushauri wangu kwa chadema wasimfukuze Shibuda ila,wasimpe cheo chochote alafu wasimjipishe wala

ujadili chochote atakacho sema,naendapo wataulizwa kusema chochote huhusu kauli zake jibu liwe rahisi tu

kuwa atujadili kauli za mtu bali mstakabali wa nchi yetu.fullstop!
 
shibuda ni gamba kuu alivuliki ni kama lile la kobe ukilivua nae anakufa ngoja alejee kwenye dini yake ya mafisadi
Shibuda hawezi akawa gamba, Shibuda ni ganda ndani ya chadema..Magama ni kama Lowasa, Chenge ndani ya CCM amabayo kuya vua ni yanaweza kupelekea kifo.......
 
Sisimizi akitumbukia kwenye glass ya maziwa unamwaga maziwa au unamchomoa sisimizi na kuendelea kunywa maziwa? Shibuda ni sisimizi ndani ya CDM. MCHOMOENI AKIFIE HUKO.
Wa mwache tu abwabwa je, muda ukifika ataondoka mwenyewe bila madhala yoyote....
 
CHADEMA haina uwezo wa kumfukuza Shibuda.

Nakuuliza mleta mada, Mchagga anaweza kumfukuza anaemuingizia fedha? Maawee!

Wewe mwana uamsho nani kakuambia cdm ni ya wachaga? Hizo pesa za magamba zinakuwasha eeh! Shibuda alichofanya ni kupiga nyimbo za disco msibani akitegemea cdm watacheza; mmeshaelezwa atashughulikiwa kwenye vikao vya chama. CCM waanze kwa kuwafukuza Lowasa, Sumaye, Kisumo, Kitine, Maige, Sita na wengineo wanaokikosoa chama chao na viongozi wa juu hadharani. WEEEEE THUBUTUUUUU!
 
Ushauri wangu kwa chadema wasimfukuze Shibuda ila,wasimpe cheo chochote alafu wasimjipishe wala

ujadili chochote atakacho sema,naendapo wataulizwa kusema chochote huhusu kauli zake jibu liwe rahisi tu

kuwa atujadili kauli za mtu bali mstakabali wa nchi yetu.fullstop!

Mkuu umeongea kitu ambacho viongozi wa CDM wanatakiwa kukijua. Waache kabisa kumzungumzia Shibuda hata wakiulizwa, wao waseme kuwa Shibuda hana serikali wao waijadili serikali maana ndiyo hasa inayofanya mambo yao kuwa magumu.

CCM wanataka kwa udi na uvumba Shibuda afukuzwe ili waingie kwenye phase 2 ya mpango wao wa kupandikiza migogoro kwenye vyama vinavyotishia ustawi wa CCM. CDM wakimfukuza Shibuda litakuwa ni kosa kubwa sana kimkakati. Wananchi wote wanaolitakia mema taifa hawapo ukurasa mmoja na Shibuda bali wale walio na U-CCM ndiyo wanataka Taifa liendelee kumjadili Shibuda na CDM badala ya CCM na hali ngumu ya maisha ya watanzania.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom