Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

Niliposoma heading nikajua Chadema wamemfukuza Shibuda kumbe maigizo tu...Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Shibuda hata siku moja Shibuda ni Kamanda sio diwani wa Arusha utamfukuza kwa barua.

Unajifariji eh!!
huyu Shibuda ni kumpiga chini ili akabebe makopo na matambara maana ndo asili yake... kile kichaa kilichompata akiwa shule akifukuzwa chadema lazima kifufuke... anayopayuka ovyo hayasababishwi na utovu wa nidhamu peke yake bali pia uchiz kichwani!!!!!!!!!!!!!!!
:whoo:
 
Shibuda anataka publicity - kitu ambacho nadhani ameshakipata. Cha msingi kwa Chadema ni kuwa makini na mtu huyu na wanaofanana na huyu na sio kukurupuka. Wakati wanachi wengine tunalia hali mbaya ya maisha, ufisadi, wizi, uchafuzi wa amani, n.k yeye abataka kutuhamisha huko tuanze kumjadili yeye na nia yake ya kugombea uraisi pamoja na matusi yake kwa chama kinachomlea. Huyu hastahili chochote zaidi ya kupuuzwa ndani na nje ya chama!
 
Shibuna ni kiongozi mdogo sana nafikiri km kanumba angetosha kupoteza Mzee huyo kwenye ulingo WA siasa ila nafiki atafutwe mbada wa kanumba wenye nguvu kija mjenga hoja
 
Niliposoma heading nikajua Chadema wamemfukuza Shibuda kumbe maigizo tu...Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Shibuda hata siku moja Shibuda ni Kamanda sio diwani wa Arusha utamfukuza kwa barua.
RITZ unakosea....Suppose wanamfukuza atafanya nini? Ukamanda wake tunautaka kwenye kuimarisha chama na sio kubomoa chama...je CDM wakimfukuza atapigana ngumi??...Nanani??

Usione watu wako kimya tena kama kuna washkaji zake wanooingia humu wamshauri aache ujinga vinginevyo atasahaulika kwenye siasa za Tanzania...Hata kama unadhani kuwa ana nguvu kubwa sana jimboni nadhani wanamaswa pia wanauelewa na wameshachoshwa kama sisi wengine tulivyochoshwa na upuuzi wake.

Mawazo ya namna hii ndio yatakayomharibia kwani mnampa kichwa kuwa anaogopwa wakati wameamua tu for the time being wampuuze but concerns za wananchi/wanachama zinaweza kubadilisha upepo.

Kumbuka keshajiharibia kila mahali hivyo sidhani kama kuna chama kinahitaji kunguru asiyefugika kiasi hiki...nadhani hata CDM wanajilaumu.

 
Umeniokoa na ban asante kaka, nilitaka nimpe kitu inauma. Any way umemjibu .
Akishatimuliwa, usisite kuleta masaburi yako humu. Hiyo akili si yako peke yako, unatuonyesha picha ya kwenu mlivyo na uwezo kiasi gani wa kujenga hoja.
 
he is not a genuine member of CHADEMA it seems he has a hidden personal agenda, act before he adds poison to the soup
 
Ntaleta comment yangu frsh pale ambapo hili Gamba la kenge litakapokuwa limetimuliwa rasmi.
 
tatizo chadema hamjui nini kilichowasibu lakini iko siku mtamuelewa shibuda yeye ni mkomavu wa demokrasia na anawapo mufgunzo ila sio kila mtu atafuata ugomvi na ukosefu wa busara ambao viongozi waliowengi wa chadema wanaprectice.
 
Jamani

Shibuda ni Shushushu wa CCM na kaenda CDM kufanya kazi maalumu ambayo ni .............Kuuza ramani ya Vita ya CDM kwa hawa Magamba CCM.

Anatoa siri nyingi sana tena za ndani za CDM na kuzipeleka CCM

Viongozi wa CDM kuweni makini sana na huyu STD 7.....akili hana anachooongalia ni hilo Tumbo lake.


Timueni hiyo takataka haraka ka sivyo Siri na ramani za Vita anazitoa kwa Magamba CCM

Hapo penye RED kama kuna - uhakika basi nafasi yake kwisha nadhani MASHWA Lazima kutakuwa na kamnda ambaye anapiga jeramba na ukizingatia wassukuma ni watu wengi wamesoma .......... so product za UDSM, MZUMBE Etc lazima zitawahi hilo jimbo maana ni kama lipo wazi kila siku shibuda anatoa tu matamko ya ki-ccm yasiyokuwa na masilahi kwa wananchi wake ... time will tell soon.
 
kalipwa ubwabwa na nyama tu kwa kazi ya upandikizi aliyopewa iliyomshinda kabla hajaianza..he is stuck in the middle!

Kama ana akili akisoma Mwanahalisi la wiki hii atabadilika upesi sana..... narudia tenakama ana akili
 
tatizo chadema hamjui nini kilichowasibu lakini iko siku mtamuelewa shibuda yeye ni mkomavu wa demokrasia na anawapo mufgunzo ila sio kila mtu atafuata ugomvi na ukosefu wa busara ambao viongozi waliowengi wa chadema wanaprectice.
Yaani wewe kweli ni mswahili......unahitaji kutoka huko kwenye uswahili ndio utaelewa kuwa anachofanya Shibuda ni ujinga uliochanganyika na masifa ya kijinga....
 
ignore him.
akisema chochote, do not respond.
atakuwa paranoid, and finally he'll leave.
 
Back
Top Bottom