Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

Checking...100%
Searching...
Downloading...

Network connecting...
Near by Ifisi Mbeya.
 
We we mtoto Wa Gamba nakupa taarifa kuwa Bashe ni MMzalendo anaepigania nchi yake akiwa ndani ya chama chenu.
Tofautisha kati ya "Uzalendo" na "Kujipendekeza kwa wapinzani".

Bashe anajipendekeza sana kwa wapinzani wa CCM. Huyu kijana hafai kuendelea kuwa mwanachama wa CCM.
 
Wewe mzee kwako uzalendo ni mtu kukaa kimya pindi anapofanyiwa mambo ya kihuni? Unaweza ukatuambia uzalendo maana yake ni nini? Maana naona unaongea uzalendo lakini unataja chama!! Huko bungeni ndio sehemu sahihi, ulitaka akawaambie polisi wale waliomuona mtu anamtolea Nape bastola lakini hawakuchukua hatua zozote? Waziri wa mambo ya ndani atafanya nini wakati ameshindwa hata kumchukulia hatua yule jamaa aliyemtolea bastola Nape? Unadhani kila mtu anatokea kwenye umaskini kama wewe hivyo unaona ukitoka kwenye chama utarudi kwenye umasikini wa asili?
Huna hoja ya msingi.
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Duuh si kwa povu lote hili lilokutoka. Kwa kauli zako ulizoziandika inaonesha wewe ni mtu mbaya na unatoka mbaya ya kishetani.
 
Wewe ndiye unastahili kulaani sababu uko kimaslahi, watanzania walio wengi wanahitaji wabunge kwenda kuwasemea na kuwatetea ili nao wapate manufaa. Ilani ya CCM 2015-2020 ndiyo dira ya wabunge wa CCM na kazi yao ni kuibada serikali kuhakikisha Ilani inatekelezwa. Sasa huyo Bashe yeye anatumia Ilani ya chama gani????
Huyo ni msaliti mkubwa, afukuzwe chama maana nia yake ni kuvuruga kabisa CCM kama anavyotumiwa. HAIKUBALIKI NI MUHIMU ARUDISHE KADI
anaposema unafiki, huoni ana nia ya kuhakikisha ilani inatekelezwa? ni ilani gani inasema asiseme uovu wa ccm? nyerere mwenyewe aliikosoa hadharani sembuse huyo.
 
chama kinahitaji watu km bashe. unamtishia mpk maisha lkn bado anatetea anachokiamini.
wanafiki km wewe ni hatari sn.
 
Kuna tofauti ya kuwa "mzalendo kwa nchi" na kuwa mnafiki wa "kujipendekeza kwa wapinzani". Huyu dogo anajipendekeza kwa wapinzani.
Nchi ni zaidi ya chama mkuu, na Siku wewe/mtu wa karibu yako akitekwa ndo utamuelewa bashe. Ni vema tukiwa na mawazo huru likija suala na usalama wa nchi, raia na Mali zao.
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
sidhani kama huu ni ushauri mzuri,fukuza ffukuza hii itakuja kuleta maafa makubwa sana siku za mbeleni, tunaweza piga makofi ya kinafiki ila mtaliangamiza taifa.
 
Wewe si ndo wale wanafiki na waoga,mungu hampendi mnafiki ukweli utasema na usipo semwa utajidhiirisha
 
Mtoa post una chembe chembe za balozi wa nyumba kumi hizi ni akili za mabalozi wa ccm wa nyumba kumi ndio wanaweza kuleta uzi kama huu,
 
Mwache aseme kweli. Bashe siku zake zinahesabika. Hawa vijana wamepata malezi mabaya ndani ya CCM
We ni mzee naona .. Na una malezi mazuri ndani ya chama buhahahahahahahahaaaahaaa hii nchi ina watu jamani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji125]
 
Kama "BABA MUNGU" ni mjomba wako, basi itakuwa hivyo.

Lakini kama BABA MUNGU ni wetu sote, basi nasema, "USHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO!
USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO MAANA BWANA HATAMUHESABIA KUWA HANA HATIA ALITAJAYE JINA LAKE BURE.
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Bashe ni Msomali. Hana cha kupoteza hata kidogo. Uchochezi anqoufanya nduguze waliufanya kule kwao Somalia na mpaka sasa nchi haitawaliki. Selikari ikimuacha huyu mtu huru kwa visingjzio vya demokrasia ninaumia sana. Bashe anapaswa apigwe risasi hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Kiuhalisia katika wabunge genuine wanaoitakia mema serikari na wapo kwa maslahi ya taifa ni Bashe tatizo lake ni kuwa too honest and confident kwenye kukosoa katika kundi la waganga njaa waliopanda daraja kwa kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom