Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,086
- 7,093
Mbunge Wa Nzega Mjini aliyemaliza Muda wake Hussein Bashe amefanikiwa kuibuka kidedea kwenye Kula za Maoni na Kupitishwa na Wajumbe kwenye Kinyang’anyiro cha Kugombea nafasi ya Kuiwakilisha CCM kwenye Kiti cha Ubunge wa Jimbo Hilo .
Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10 na kumshinda Peter Mashili aliyekua anagombea nae nafasi hiyo .
Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10 na kumshinda Peter Mashili aliyekua anagombea nae nafasi hiyo .