KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Najua binadam wengi wanapenda sana kusikia mabaya ya kitu kuliko mazuri ya kitu ndo maana watu wanaoponda wenzao kwa mambo ya kijingakijinga huwa na wasikirizaji wengi kuliko wale wanaotetea na kuleta hoja
Imefika mahali ambapo wtu hujiona wazarendo wakiponda kuliko kutoa mawazo harisi ili nche yetu hii masikini iendelee kwa kiwango cha juu sana
Imefika kipindi Tundu Lissu anatetea wawekezaji wa kizungu kuliko nchi yake na watu hushangilia.
Imefika mda mtu anashabikia kuwa ufisadi urudi kwani unafaida, watanzania cjui tumerogwa nn mpaka mtu asie mzalendo tunamuona anafaa
Anyways huo ulikuwa utangulizi
Huyu bwana Bashe atakuwa ni kimea kilichoingizwa ndani ya chama ili kiiharibu chama, Tangu enz za uchaguzi anasema Magufuli bado ni mchanga na ataendeshwa na CCM bora Lowassa aingie dimban. Tujiulizeni. Ivi kati ya magufuli au lowassa nani ambae ingekuwa virahisi kuendeshwa
Tangu awe mbunge anaponda serekali na kwakua kaona hilo ndo lakupatia airtime anaendelea kufanya vilivyo
Ningekuwa na mamlaka ningehamuru asaidie upelelezi kwani kataja adi idadi ya wabunge waliopangwa kukamatwa,inabidi ashikwe aliulize data kazitoa wapi, maana kama anajua ni wazi itajulikana nani anaefanya huu ufuska wa kisiasa