Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,596
- 128,424
Kama "BABA MUNGU" ni mjomba wako, basi itakuwa hivyo.
Lakini kama BABA MUNGU ni wetu sote, basi nasema, "USHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO!
Kwa haya maoni yako katika huu uzi wako wewe unaonekana ni utakuwa ni mzee. Kwa kawaida wanaccm huwa mnajifanya mna democrasia lakini ukiangalia vizuri utaona hamna democrasia bali ni unafiki na woga. Kwa ajili ya unafiki na woga wenu hakuna mwanaccm mwenye nguvu ya kuisema ccm kwa uwazi, hivyo kujiaona mna demokrasia. Na ukweli huo unaweza kudhihirika kirahisi pindi anapotokea mwanachama anayeweza kuikosoa kiwazi wazi. Wakati Zitto anaiponda cdm na kuisema wakati akiwa mwanachama hatimaye kumchukulia hatua ya kumfukuza, wanaccm mliibeba kama agenda eti cdm hawana demokrasia kisa wamemfukuza Zitto aliyekuwa anapingana na misimamo ya chama chake hadharani. Kama kawaida Mungu hamfichi mnafiki, leo kilekile mlichokibeba kama agenda na propaganda za kizee kinawatokea puani na kuwaacha uchi. Leo imegeuka hamtaki mtu anayewasema waziwazi kama ambavyo mliona Zitto hafanyiwi haki na chama chake cha cdm!!?