Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

Mwache aseme kweli. Bashe siku zake zinahesabika. Hawa vijana wamepata malezi mabaya ndani ya CCM
bashe ashakwqmbia yupo teyar kufukuzwa uanachama hajal hilo..cz yy sio mchumia tumbo na kibaraka wa ccm km ww...kwaiyo ukwel amesema
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
huyu dogo atimuliwe ccm. ni mchwa ndani ya chama. mbunge gani wa upinzani kwa tiketi ya chama tawala.
 
Kwahiyo, wewe unaposikiliza mambo haya ya kuichafua serikali ya raisi John Magufuli kwamba inateka na kutisha raia wake unakubaliana nayo?
Hebu fikiria kidogo kabla ya kuuliza haya maswali. Ulitakiwa usifikirie neno kuchafuliwa kwa serikali bali ujiulize je kuna watu wametekwa? Na kama wapo je watekaji ni nani na wametumwa na nani? Nani anafurahia serikali kuchafuliwa? Watu wanataka serikali ikanushe na kutuambia hawa watekaji ni kina nani na kama hawajatumwa basi wawadhibu ili iwe fundisho kwa wengine.
Tumeshuhudia Rais akimfuta kazi mkurugenzi kwa kitendo chake cha kutishia watu kwa silaha kupitia mgongo wa serikali, sasa serikali hiyo itoke hadharani kuwasaka wote wanaoichafua na sio kupinga watu kusema uovu unaotendwa.
Mfano mtu aliyemtolea silaha Nape ameonekana akishuka kwenye gari ya serikali na Rais alisikika alisema haijamtuma mtu kufanya yale, sasa kama haijamtuma tujiulize nani alitumia gari ile na kwanini alifanya vile?
 
HATARI SANA HUYO KIJANA. WEZAKE WANATEMBEA KULIA YEYE KUSHOTO........
 
Ndio chama ni bora kuliko nchi mbona unauliza jibu kwani unafikili zito kabwe chadema mlimfukuza kwa kosa lipi?
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Una sound exactly kama Makonda mbona una vituko sana katika Tanzania ni wewe peke yako tumekusikia ukisema rais wangu mpendwa so many times na sasa unasema mwenyekiti wako mpendwa hii ni Zaidi ya kawaida unampa nini huyo mwenyekiti wako mpendwa mpaka unamuamrisha afukuze Bashe anayesema ukweli kwa niaba ya wananchi badala ya kukufukuza wewe unayemtia aibu kila siku kwanza mwizi wa jina mzurumaji wa mali za watu na ni muuaji
 
Nafarijika sana... Pambaneni wenyewe..
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Yani we ndo wa hovyo kweli kweli. Kwako uzalendo kwa chama ni muhimu kuliko kwa nchi.
 
Kati ya kuwa mzalendo kwa taifa na mzalendo kwa chama, kipi bora??
 
Bashe ni shujaa ,masilahi ya nchi anatanguliza mbele na hilo kopo lenu la CCM linawekwa nyuma
 
Bashe yupo njia panda,kaliambia bunge kuwa mawaziri watatu katika serikali hii ya JPM wamemuonya kuwa yeye ni kati ya wabunge 11 watakao tekwa au kupotea.
Hakuna mbunge aliyeomba mwongozo wa spika,kwa maana habari hiyo ina ukweli ndani yake.
Kusweka ndani yaani detention sio jambo dogo,na usiombe likukute.Kwa sasa yetu macho.
 
I completely agree with you, Bashe is a mole and he has to be removed. Jimbo la Nzega ni ccm kindakindaki
Tuko pamoja mkuu. Naamini Mwenyekiti atalifanyia kazi hili swala mapema iwezekanavyo.
 
Hebu fikiria kidogo kabla ya kuuliza haya maswali. Ukitakiwa usifikirie neno kuchafuliwa kwa serikali bali ujiulize je kuna watu wametekwa? Na kama wapo je watekaji ni nani na wametumwa na nani? Nani anafurahia serikali kuchafuliwa? Watu wanataka serikali ikanushe na kutuambia hawa watekaji ni kina nani na kama hawajatumwa basi wawadhibu ili iwe fundisho kwa wengine.
Tumeshuhudia Rais akimfuta kazi mkurugenzi kwa kitendo chake cha kutishia watu kwa silaha kupitia mgongo wa serikali, sasa serikali hiyo itoke hadharani kuwasaka wote wanaoichafua na sio kupinga watu kusema uovu unaotendwa.

Nadhani serikali haiwezi kila siku kukanusha habari za uvumi au zisizo na ukweli.

Hii ndiyo njia ambayo imeamua kuitumia.
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
"Siku zake zinahesabika"????
Mnataka kumfanyia 'Uroma' na yeye mkamuache baharini
siasa tamu kweli siku hizi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom