hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Hahaa aiseWere muhaya nawewe ile kashfa yako ya kutapeli watu humu jf kwenda ulaya tukuweke wapi?
Unataka twende ulaya kumbe we uko BK aka British Kingdom (Bukoba) unakula ndizi za kusongwa na senene