Ngoja nikupe Somo kidogo inaonekana hauijui JF ila unaidandia tu,
Jf ina majukwaa lukuki mfano
1:Jukwaa la mahusiano,
2:jukwaa la Wakubwa na la dini haya ni private kuingia mpaka upate access maalumu kutoka kwa Mod,paw
3:jukwaa la hoja mchanganyiko
4:Jamii intelgence
5:Jukwaa la siasa
6:Jukwa la jokes na utani
Na majukwaa mengine mengi kila jukwaa na content zake
Hivyo basi ukitaka kusoma vile unataka kuvisoma ingia jukwaa ulipendalo kama wewe ni mpenzi wa siasa ingia jukwaa hilo,kama unataka Utani ingia hilo jukwaa utakuta mada zake humo,kama wewe unataka mada za kufikirisha ubongo jukwaa la jamii intelgence lipo ingia humo utapata madini,
Usijifanye unaijua JF zaidi ya ata walioanzisha wakina Maxence sawa mkuu.
Usiandike andike Coment ili wakuone we ni great thinker kumbe ni bonge la popoma kwenye kundi la watu.
I think umenielewa na hautakuja tena kuandika huo upopoma wako kwa mwingine pia Unatakiwa Useme asante kwa kufunua Akili ya ubongo wako nafikiri sasa utakuwa unaijua JF ata kidogo.