Harakati za wanaume na Misukosuko ya kila siku

bashizo

Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
23
Reaction score
24
Habarini za Weekend wana-jumuiya.

Wanaume tunapitia mengi sana.

Mwaka 2017 nilipatwa na tukio ambalo sitokuja kulisahau ingawa nilishasamehe na maisha yakaendelea. Nakumbuka juzi nilileta uzi wa kisa cha yule dada mwenye HIV+.

Issue ilikuwa hivi baada ya kuanzisha mahusiano yetu kwa kweli tulipendana sana tena sana. Kila mmoja alijitoa kwa mwenzie kutengeneza future yetu. Tulikuwa free kutembeleana na kupigiana simu mda wowote ule maana tulikuwa kwenye distance Love.

Ndugu zangu wenye wake/wapenzi wa mbali hakuna trusted distance love tunachapiwa sana tena wakati mwingine na ndugu zetu wa karibu sana.

Kuna siku mwamba ilikuwa weekend nikampigia simu mpenz wangu kujua siku yake ameiratibu vip, kwel alinipa ratiba yake ya siku yote. Lakini kwenye ratiba yake kuna sehemu kulikuwa na ukakasi na nilipojaribu kumuhoji hakunipa majibu ya kueleweka. Kidume nikatulia nikasema leo lazima nimfanyie suprise.

Kwel ilipofika saa mbili nikachukua ka-vitz kangu kipindi hicho vitz habar ya mjini ikiwa na sound system ya kutosha. Taratibu naelekea geto kwa mpenzi wangu. Nafika pale nafungua geti la kuingilia ndani nakuta mlangoni kwa huyu mwanamke pana viatu vya mshikaji pia. Moyo ukapiga kidume sikukata tamaa.

Nikaelekea mlangoni nikagonga hataki kufungua., nimegonga kama mara sita akafungua nae akashtuka alaf akawa ananizuia mlango nisiingie ndani tukaongea plus kusukumana maana nilishaona hapana aman tena pale. Nikafanikiwa kuingia ndani nikamkuta jamaa kalaa kitandani na boksa tu wakati uo mpenzi wangu alinifungulia akiwa na kanga tu. Nikajua fika hapa mpenz wangu ameshaliwa.

Aloo., niliishiwa pozi nikakumbuka somo la uzalendo nikiwa pale 832 (Obidience). Nikawasha gari na kurudi nika-block.

Ilipofika 2019 akaniomba msamaha nikarejea kwenye andiko la Mungu samehe mara sabini. Tukaanza upya na mwaka jana nakutana na pigo jingine la kumkuta HIV+. Wanaume wenzangu mwanamke haziminiki kwenye hii dunia
 
Una weza msamehe mara saba sabini ,bila kurudiana nae mkuu , ona sasa umesamehe yaliyokukuta pia tumia hiyo hyo samehe uone kma inafaa tena.
 
Kama wewe upo safe mkuu, hakuna majuto hapo hapo. This is life, kila jambo lazima limkumbe mmojanwa binadamu mwenzetu. Wewe hili, mm lile ndio maisha hayo. Songa mbele mwisho tunakufa tunaishia zetu. Nothing to lose or regret.
 
Ulitaka kumsuprise ukajisuprise mwenyewe nadhani ulikua umeshajiandaa vyema kukabiliana na ulichokua unakitafuta.

Vip hali yako nawewe umeathirika?
 
Una moyo wa kipekee yan umekuta nigga ina boxer kitandan ukasamehe? Au alikua anakupagawisha na tigo?
 
Back
Top Bottom