Siku yako ya kwanza ku drive highways ilikuwaje?

Nilikua natoka Dar kwenda Mtwara, nikiwa na toyota voltz-mannual gia (na kila siku nawaambia naiuza hamtaki😒
😒) nilienjoi sana nilivokua naomba njia kwa kutumia indiketa halafu naruhusiwa, mwingine ananiambia subir then ananiruhusu asee nilikua napata furaha sana, mwingne ananiwashia taa kuniambia punguza mwendo trafiki mbele, na mwingne ananiuliza namjibu hahaha aiseee nilikua najiona ndio baaasi tena maisha nimeshayamaliza hapo sihitaji kingine.... ilikua Novemba 2014!
 
Hiyo barabara nimepita juzi kurudi DAR aisee sasahivi haifai maana ina mabonde ya kufa mtu tena kama mtu mgeni na hiyo njia ni hatari Sana hasa waendeshaji Magari madogo..
 
Speed limit ni 100 km/hr yaani 70 ilikuwa ngumu kuifikia halafu wasiwasi ile mbaya usukani nimeukumbatia 😂😂😂 baada ya kuwa mjuzi sasa kuna siku nilikuwa nateleza 160 km/hr uzuri ni kwamba madreva wanashirikiana ili kuvunja sheria sikustuka mpaka mmoja wa passengers kuniuliza BAK unataka kupaa!? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom