Mazito yaliyonipata siku ya kwanza naanza kugegeda mabinti duniani

Hypershulemia

JF-Expert Member
May 19, 2021
214
701
Habari zenu wakuu,

First time na get uroda.

MCHIZI ile naingia form one nikakutana na demu nilie Soma nae la kwanza mpaka la nne huko Kenya yeye akaamishwa tukaja kukutana hiyo Tanzania form one kutokana na kufamiana hapo awali mtoto Basi akajenga mazoea na Mimi comrade.

Siku nenda siku Rudi siku moja tulikuwa tunatoka school Mimi mtoto akanipa begi lake akaingia chooni ghafla bin vuuuuu Nika sikia kelele zikitoka chooni ๐Ÿ˜ฒ MCHIZI nikavunga akaniita kwa jina huku anapiga kelele nikaona liwalo na liwe nikazama choo Cha kike sikuamini nilichokiona!

Nilikutana na joka mzee sio poa nikatoka njee kuchukua mawe nikafanikiwa kuliuwa Basi mtoto akaniona shujaa wake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ž guess what next wajomba anko wenu nikatoka njee sijafanya lolote ๐Ÿ˜ข huku binti ananifata nyuma akitengeneza sketi yake sa kumbe Kuna mwalimu katuona ๐Ÿ’”

Mwalimu Njigilwa katucheki tunatoka chooni kwa pamoja tukaitwa wajomba kumbukeni sijafanya kitu zaidi ya kupiga nyoka kufika kwa malimu nikakutanishwa za kutoshaa ndiyo akaniuliza nikajitetea akaomba nimlete ushahidi wa nyoka mchizi huku na ugulia maumivu nikamfata Yule nyoka.

Basi mwalimu akaniambia pole nikamjibu "au sio" akanikutanisha Tena wazee ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜‚ nikajaa sumu nikaondoka zangu ghafla na ona mtoto ananikimbilia kwa nyuma kate... Kate... Nikasimama mtoto akaniambia umesahau begi lako hapo tumeshatoka maeneo ya shule tuko ka mtaa kakivulini.

MCHIZI nikachukua begi langu hapo nimejaa sumu siongei na mtu nimefula balaaa unaambiwa mtoto akawa kaelewa situation Basi kanipa begi ile naondoka kanivuta mkono kanipiga denda hazarani ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜ Mara baada ya kumaliza kunibusu tukakamatwa na raia wenye uchungu na shule ๐Ÿ˜ข๐Ÿ’”

Wale raia baada ya kutukamata wakatupeleka office ya mwenyekiti wa mtaa nyuma ya guesthouse ya kivulini KIUFUPI mwenyekiti yule baba anapiga... ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Mchizi nimekula zangu nimetulia wakamia kwa mtoto asee walimkun'guta raia mmoja akawa anakomalia huyu mtoto wa kike ndiyo ana tabia mbaya hapo Mimi siongei siku imeshakuwa ya mkosi kwangu nimetulia Kate wa watu.. ๐Ÿ˜ค Mara mwenyekiti akatuandika majina akasema kesho anakuja shuleni tumbo la uzazi lilinicheza nikaandika jina langu la ubatizo hapo Ricky mtoto sikuelewa kaandika jina gani.. mchizi๐Ÿ‘‡

Mchizi round Hii nikaakikisha natembea haraka NI wahi kufika nyumbani mara nasikia sauti ya yule demu Kate Kate nikasema sigeukii wewe Kate.. nikakeuka nimefula home boy mtoto akaniomba msamaha ๐Ÿ˜ญ Kisha akanipa saa niliidondosha kwa mwenyekiti.. pamoja na vyote Bado na HASIRA nae

Akaniuliza nifanye Nini ili unisamehe ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ nikamwambia achanifikilie nikaondoka Mara akaanza kuniita Tena hapo tuko barabarani shirt langu limejaa mistali ya fimbo Kama pundamilia.. mtoto kanikimbilia kanikumbatia wajomba nikasahau maumivu ya bakora.. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‹ Jambo langu likasimama

Jambo langu kusimama sinikamnong'oneza kumuomba ile namalizia kutaja uroda ndinga ya mshua wake hiyo hapo ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ WTF nikamuachia yule binti nikakimbia mpaka home nikamkuta Mather nikasema ataniokoa kimoyomoyo nikaingia ndani speed akaniuliza vipi nikamwambia wauni๐Ÿ‘‡

Wauni wanakuja na baba zao ๐Ÿ˜ nilishachanganyikiwa sio pia Mara ndinga njee ya geti inapiga horn mather akadhani mshua akaniambia nimfungulie ๐Ÿ˜ข kufungua NI yule mzee na mwanae wamekuja nikameza mate nikasema nimeisha inshort Mather wangu anasurubu Kama wayahudi tu

Kidogo hivi mshua boy kaingia naye.. kusikiliza kesi akaniambia ingia ndani ๐Ÿ˜ข na yeye kaja nikamuelezea yani mpaka hapa akinipiga naweza kufa nikamuonesha mialama mshua kaanza kufoka anapiga ukuta na mikanda nikaona nijiongeze kulia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tukatoka kusolve inshuu

Nikatoka na father ndani tukasolve msala wakaongea Kama dakika 30' wakabadilishana namba yule mzee akawa kaondoka mida Kama ya saa kumi jioni.. kwenye saa kumi na moja Mather akanituma gegeni maeneo ya uwanja wa fisi Sasa road nikakutana na mtoto ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡

Nikasema huu muda tunaenda kulipana wajomba mtoto nikampanga gheto likawa kipengele ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ข nikasema sio kesi nikakumbuka kwa chini bondeni Kuna mapagala hayaisha kujengwa ๐Ÿ˜‚ nikamvuta mtoto mpaka kwenye pagala moja lilikuwa limewekewa bati fresh Sema halina milango Wala madilisha

Shida ya mapagala Kama mnaelewa wajomba.. watu wanajisaidia vinyesi vingi.. ๐Ÿ˜ข sema Nini sio kesi hiyo mida ya saa kumi na moja inaenda na robo tuko kwende pagala ndiyo tunaanza kutomasana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜ Jambo langu limeisha simama nikafungua zipu ya suruali nikaishusha suriali

Ile naenda kushusha boxer mtoto acheze mguu nilisikia Kofi limetua mgongoni kwangu wajomba.. nilijikunjaa kugeuka namuona dingi mmoja hata SI mjui kumbe ndie mwenye pagala wa jomba.. ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ akaanza kulalamika mnatia nuksi nyumba yangu ndiyo maana siimalizi leo nitawanyoosha... ๐Ÿ’”

Mjuba nikaona nijitete akaniweka Kofi la mdomo nikamuuliza mbona unanipigia Mimi TU.๐Ÿ˜ฒ Akanijibu kwa kofi zito Tena ๐Ÿ˜ญ nikaona nimuombe samaha mzee kaja kutusamee saa kumi na mbili hata nguvu ya kuongea na mtoto nikakosa.. ๐Ÿ˜ข nikaingia zangu sokoni kikarudi home nikaulizwa mbona

Sura imevimba nikamwambia Mather wauni walitaka kunipola hela Nika fight Kama kidume..๐Ÿ˜Ž mida ya saa moja nikaona hii siku hisiishe bila demu kulipa maumivu nilio yapata walau hata kwa kunyonya tu.. ๐Ÿ˜Ž nikaoga niondoe nuksi nikapulizia marashi nikavunja kibubu nikakuta 15k

Nikaenda mitaa ya huyo demu nimevaa koti kubwa kuficha uvimbe usoni.. ๐Ÿ˜Ž hiyo mida ya saa moja unusu nimebet akitoka tu pale kwao nje ninae ๐Ÿ˜ wajomba Mungu sio Athuman Wala katembo mtoto katoka nikamuita nilikuwa nimesimama kwenye giza nashangaa mtoto karudi ndani then akatoka

Wakati mtoto anatoka mara ya pili ananifata nyuma take kulikuwa na mabroo wa wili wanamfata nyuma wametoka nae ndani kumbuka nimevaa koti kubwa mtoto ajaniona hata sura wale mabro wakamwambia binti tuonesho hao wauni wanakusumbuaga akanisonta akisema "mmoja nu huyu" ๐Ÿ˜ฒ hapo

Nikasema nijifunue anione sura itakuwa msala kwakwe nikatafute upenyo nikaunga ndefu.. mabro wako na Mimi ๐Ÿ˜ข sema Nina Mungu nilipita kwenye korongo moja nikadumbukia.. mabro wakapita ghafla nashangaa wauni wanadumbukia na wenyewe wakasema nimekuja kuiba Mali kwenye gheto lao

Ndiyo nikagundua watu wanalala kwenye korongo na life linasonga ๐Ÿ˜Ž wauni wakanipiga tero wakachukua elfu 15 yangu na koti ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ wakanitimua kmmk hiyo 15k ningenunua uroda sema nilikuwa Bado young ๐Ÿ˜ข Basi mjomba wenu nikawa na Rudi skani kinyonge..

Yule demu nae anarudi kutoka aliko tumwa muda ule akaniitia mabro wake.. ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜ค nikampanga nilikuwa NI Mimi ulioniitia mabro wako akaniambia pole kwa siku ya leo huku anacheka cheka ๐Ÿ˜‚ nikamwambia pole haitoshi hapa nimeisha ibiwa elfu 15 na koti langu lile.. ๐Ÿ˜ค

Akaniuliza kwa hiyo unatakaje.. nikamabia twende huku.. ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜ nikamrudisha kwenye pagala la yule mzee si halina mlizi anko wenu nikajipoza na machungu nikajisikia mwepesi.. ๐Ÿ˜˜๐ŸŒน nikamuaga kwa busu zito hiyo siku siku lala kwa amani nikamwa na kumbuka tukio zima la kushusha uzito

Kesho asubuhi kuingia school namuona mwenyekiti kaja anaelekea officini Nika mchukua bibie ๐Ÿ˜ nikajakusikia mwenyekiti alikuwa nawatafuta Ricky na Justina ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚ kumbe na demu alidanganya jina ๐Ÿ˜‚ anyway kwa leo tuishie hapa
 
Habari zenu wakuu,

First time na get uroda.

MCHIZI ile naingia form one nikakutana na demu nilie Soma nae la kwanza mpaka la nne huko Kenya yeye akaamishwa tukaja kukutana hiyo Tanzania form one kutokana na kufamiana hapo awali mtoto Basi akajenga mazoea na Mimi comrade.

Siku nenda siku Rudi siku moja tulikuwa tunatoka school Mimi mtoto akanipa begi lake akaingia chooni ghafla bin vuuuuu Nika sikia kelele zikitoka chooni MCHIZI nikavunga akaniita kwa jina huku anapiga kelele nikaona liwalo na liwe nikazama choo Cha kike sikuamini nilichokiona!

Nilikutana na joka mzee sio poa nikatoka njee kuchukua mawe nikafanikiwa kuliuwa Basi mtoto akaniona shujaa wake guess what next wajomba anko wenu nikatoka njee sijafanya lolote huku binti ananifata nyuma akitengeneza sketi yake sa kumbe Kuna mwalimu katuona

Mwalimu Njigilwa katucheki tunatoka chooni kwa pamoja tukaitwa wajomba kumbukeni sijafanya kitu zaidi ya kupiga nyoka kufika kwa malimu nikakutanishwa za kutoshaa ndiyo akaniuliza nikajitetea akaomba nimlete ushahidi wa nyoka mchizi huku na ugulia maumivu nikamfata Yule nyoka.

Basi mwalimu akaniambia pole nikamjibu "au sio" akanikutanisha Tena wazee nikajaa sumu nikaondoka zangu ghafla na ona mtoto ananikimbilia kwa nyuma kate... Kate... Nikasimama mtoto akaniambia umesahau begi lako hapo tumeshatoka maeneo ya shule tuko ka mtaa kakivulini.

MCHIZI nikachukua begi langu hapo nimejaa sumu siongei na mtu nimefula balaaa unaambiwa mtoto akawa kaelewa situation Basi kanipa begi ile naondoka kanivuta mkono kanipiga denda hazarani Mara baada ya kumaliza kunibusu tukakamatwa na raia wenye uchungu na shule

Wale raia baada ya kutukamata wakatupeleka office ya mwenyekiti wa mtaa nyuma ya guesthouse ya kivulini KIUFUPI mwenyekiti yule baba anapiga... Mchizi nimekula zangu nimetulia wakamia kwa mtoto asee walimkun'guta raia mmoja akawa anakomalia huyu mtoto wa kike ndiyo ana tabia mbaya hapo Mimi siongei siku imeshakuwa ya mkosi kwangu nimetulia Kate wa watu.. Mara mwenyekiti akatuandika majina akasema kesho anakuja shuleni tumbo la uzazi lilinicheza nikaandika jina langu la ubatizo hapo Ricky mtoto sikuelewa kaandika jina gani.. mchizi

Mchizi round Hii nikaakikisha natembea haraka NI wahi kufika nyumbani mara nasikia sauti ya yule demu Kate Kate nikasema sigeukii wewe Kate.. nikakeuka nimefula home boy mtoto akaniomba msamaha Kisha akanipa saa niliidondosha kwa mwenyekiti.. pamoja na vyote Bado na HASIRA nae

Akaniuliza nifanye Nini ili unisamehe nikamwambia achanifikilie nikaondoka Mara akaanza kuniita Tena hapo tuko barabarani shirt langu limejaa mistali ya fimbo Kama pundamilia.. mtoto kanikimbilia kanikumbatia wajomba nikasahau maumivu ya bakora.. Jambo langu likasimama

Jambo langu kusimama sinikamnong'oneza kumuomba ile namalizia kutaja uroda ndinga ya mshua wake hiyo hapo WTF nikamuachia yule binti nikakimbia mpaka home nikamkuta Mather nikasema ataniokoa kimoyomoyo nikaingia ndani speed akaniuliza vipi nikamwambia wauni

Wauni wanakuja na baba zao nilishachanganyikiwa sio pia Mara ndinga njee ya geti inapiga horn mather akadhani mshua akaniambia nimfungulie kufungua NI yule mzee na mwanae wamekuja nikameza mate nikasema nimeisha inshort Mather wangu anasurubu Kama wayahudi tu

Kidogo hivi mshua boy kaingia naye.. kusikiliza kesi akaniambia ingia ndani na yeye kaja nikamuelezea yani mpaka hapa akinipiga naweza kufa nikamuonesha mialama mshua kaanza kufoka anapiga ukuta na mikanda nikaona nijiongeze kulia tukatoka kusolve inshuu

Nikatoka na father ndani tukasolve msala wakaongea Kama dakika 30' wakabadilishana namba yule mzee akawa kaondoka mida Kama ya saa kumi jioni.. kwenye saa kumi na moja Mather akanituma gegeni maeneo ya uwanja wa fisi Sasa road nikakutana na mtoto

Nikasema huu muda tunaenda kulipana wajomba mtoto nikampanga gheto likawa kipengele nikasema sio kesi nikakumbuka kwa chini bondeni Kuna mapagala hayaisha kujengwa nikamvuta mtoto mpaka kwenye pagala moja lilikuwa limewekewa bati fresh Sema halina milango Wala madilisha

Shida ya mapagala Kama mnaelewa wajomba.. watu wanajisaidia vinyesi vingi.. sema Nini sio kesi hiyo mida ya saa kumi na moja inaenda na robo tuko kwende pagala ndiyo tunaanza kutomasana Jambo langu limeisha simama nikafungua zipu ya suruali nikaishusha suriali

Ile naenda kushusha boxer mtoto acheze mguu nilisikia Kofi limetua mgongoni kwangu wajomba.. nilijikunjaa kugeuka namuona dingi mmoja hata SI mjui kumbe ndie mwenye pagala wa jomba.. akaanza kulalamika mnatia nuksi nyumba yangu ndiyo maana siimalizi leo nitawanyoosha...

Mjuba nikaona nijitete akaniweka Kofi la mdomo nikamuuliza mbona unanipigia Mimi TU. Akanijibu kwa kofi zito Tena nikaona nimuombe samaha mzee kaja kutusamee saa kumi na mbili hata nguvu ya kuongea na mtoto nikakosa.. nikaingia zangu sokoni kikarudi home nikaulizwa mbona

Sura imevimba nikamwambia Mather wauni walitaka kunipola hela Nika fight Kama kidume.. mida ya saa moja nikaona hii siku hisiishe bila demu kulipa maumivu nilio yapata walau hata kwa kunyonya tu.. nikaoga niondoe nuksi nikapulizia marashi nikavunja kibubu nikakuta 15k

Nikaenda mitaa ya huyo demu nimevaa koti kubwa kuficha uvimbe usoni.. hiyo mida ya saa moja unusu nimebet akitoka tu pale kwao nje ninae wajomba Mungu sio Athuman Wala katembo mtoto katoka nikamuita nilikuwa nimesimama kwenye giza nashangaa mtoto karudi ndani then akatoka

Wakati mtoto anatoka mara ya pili ananifata nyuma take kulikuwa na mabroo wa wili wanamfata nyuma wametoka nae ndani kumbuka nimevaa koti kubwa mtoto ajaniona hata sura wale mabro wakamwambia binti tuonesho hao wauni wanakusumbuaga akanisonta akisema "mmoja nu huyu" hapo

Nikasema nijifunue anione sura itakuwa msala kwakwe nikatafute upenyo nikaunga ndefu.. mabro wako na Mimi sema Nina Mungu nilipita kwenye korongo moja nikadumbukia.. mabro wakapita ghafla nashangaa wauni wanadumbukia na wenyewe wakasema nimekuja kuiba Mali kwenye gheto lao

Ndiyo nikagundua watu wanalala kwenye korongo na life linasonga wauni wakanipiga tero wakachukua elfu 15 yangu na koti wakanitimua kmmk hiyo 15k ningenunua uroda sema nilikuwa Bado young Basi mjomba wenu nikawa na Rudi skani kinyonge..

Yule demu nae anarudi kutoka aliko tumwa muda ule akaniitia mabro wake.. nikampanga nilikuwa NI Mimi ulioniitia mabro wako akaniambia pole kwa siku ya leo huku anacheka cheka nikamwambia pole haitoshi hapa nimeisha ibiwa elfu 15 na koti langu lile..

Akaniuliza kwa hiyo unatakaje.. nikamabia twende huku.. nikamrudisha kwenye pagala la yule mzee si halina mlizi anko wenu nikajipoza na machungu nikajisikia mwepesi.. nikamuaga kwa busu zito hiyo siku siku lala kwa amani nikamwa na kumbuka tukio zima la kushusha uzito

Kesho asubuhi kuingia school namuona mwenyekiti kaja anaelekea officini Nika mchukua bibie nikajakusikia mwenyekiti alikuwa nawatafuta Ricky na Justina
kumbe na demu alidanganya jina anyway kwa leo tuishie hapa
Toa credit bro
 
"""anakuja shuleni tumbo la uzazi lilinicheza nikaandika jina langu la ubatizo hapo Ricky mtoto sikuelewa kaandika jina gani.. mchizi""

Matumizi ya emoj na hayo maandishi hapo juu yanasadifu wewe ni wakike unaye jaribu kutunywesha chai ya pilipili manga na mdimu

KAMA UNABISHA WANAUME WASEME HAPA KAMA SISI WANAUME TUNAMATUMBO YA UZAZI .
 
Visago vyote hivyo HUFI tu? Halafu unapigwa wewe tyu kwa dhambi gani hasa uliyoifanya?
 
Back
Top Bottom