Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Kumbe furaha yako kuwadanganya wenzako? unajua kwamba uongo ni dhambi
Ivi kumbe ni dhambi ee,ila nmefrahi leo
Kumbe furaha yako kuwadanganya wenzako? unajua kwamba uongo ni dhambi
mkuu kuna movie moja inaitwa Wrong turn.
yaani ni haya mambo ya utani utani yanateketeza mji mzima!!
aise ni hatari asubuhi ya leo nimepigiwa simu na kudanganywa.
imebidi na mimi nidanganye kwa kweli..
ngoma ikawa droo