Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,092
- 24,215
Habari za asubuhi wapendwa.......................
Aisee mimi nina swali hii siku ya wajinga duniani malengo yake ni nini? je inalengo la kupunguza ujinga au kuongeza vifo vya watu kwa presha?
Imekuwa kawaida siku kama hii watu kupeana presha kwa namna moja ama nyingine kwa mfano watu wanagusa maeneo muhimu kama familia,kazini na kwingine,mtu anaweza kukuambia amemuona mkeo akiingia gesti fulani na jamaa au amemuona mumeo na mwanamke gest hali ikawa tata au mtu anakuambia baba/mama yako mgonjwa. Wengine wanaenda mbali zaidi ikitokea kuna ndugu alikuwa anaumwa hata kama hakuwa serious watasema amefariki hivi hapo ni kutoana ujinga?
Hebu tusaidiane mahusiano baada ya muda huo wa ujinga kuisha maana mwisho huwa inakuwa saa nne mumeo amekuaga kuwa anaenda kazini halafu zikaja taarifa kwamba yuko na mtu gesti wakati huo huo ulikuwa unahisi kama mumeo anakuchit ila haukuwa na uhakika hebu wadada mseme hapa mapokezi ya jioni yatakuaje?
Na wewe mwanaume umemuacha mke home taarifa zinakufikia kuwa kuna njemba iko kufaidi tunda tena kwenye kitanda unacholalia hata kama utathibitisha siyo kweli mahusiano wiki hilo yatakuaje? hebu njooni tusaidiane mawazo hapa maana naona hii siku inavyoadhimishwa sielewi.....
cc:Bantu lady, Rich pol, Kiwatengu, Sungura1980, Uran, 'Valentina', Honey Faith, Angelicious, Excel, mwallu, Miss neddy, Shansarie, Judgement, Demba, Eiyer,Baba V,Lady Doctor, na wengine hebu njooni huku tuongee