mgaya chacha
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 499
- 658
Kwa hiyo na were ni m-RumiKwa hiyo na wewe ni myahudi??
Kwa hiyo na were ni m-RumiKwa hiyo na wewe ni myahudi??
Luka :23:50
Kulikuwa na mtu mmoja jina lake Yosefu, mwenyeji wa kijiji kimoja cha Wayahudi kiitwacho Arimathaya. Alikuwa mtu mwema anayeheshimika.
Luka :23:52
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Luka :23:53
Kisha akaushusha mwili huo kutoka msalabani, akauzungushia sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.
Luka :23:54
Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, na maandalio ya siku ya Sabato yalikuwa yanaanza.![]()
Hii biblia imeweka wazi kabisa kwa kuweka siku kuwa ni ijumaa Yesu aliposulubiwa pale msalabani na hivyo ilibidi waharakishe kumzika maana ijumaa ilikuwa ndiyo siku ya maandalio kabla ya sabato kuingia na kama ijumaa ndiyo siku ya maandalio ya sabato, sabato itakuwa siku gani? Hili utajijibu mwenyewe na nafsi yako
Luka :24:1
Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.
Wewe dhehebu gani ili tukusaidie kwa mujibu wa dhehebu au imani yako ,huenda unasema ni Rc , kumbe hujui hata kuwa IBADA YA JUMAPILI imeletwa na UPAPAEndeleeni kuwayumbisha hao hao RC lakini binafsi sijaona jibu la swali langu kwako.
Basi endelea kuamini katika ibada za wafuMimi nimeshahudhuria mihadhara yao mingi lakini sijaona zito la kunishawishi niamini swala linaloitwa USABATO.
ISAYA alinena vema juu yenu ninyi wanafiki...We naona unamuamini kahaba Ellen kuliko hata Muumba mwenyewe! Endelea kupambana na dini zilokuja na meli mie mwenzio sipo popote
Mimi nimeandika kwa muktadha wa biblia wala siyo vinginevyo.
Biblia kiswahili cha kisasa ,Hivi hiyo ni biblia ipi iliyotaja jumamosi, jumapili, jumatatu na kuendelea!?
Soma Isaya 66:23 Biblia inasema hata kule juu mbinguni wanadamu wote sabato hata sabato wataenda kuabudu mbele za Mungu
ISAYA alinena vema juu yenu ninyi wanafiki...
"8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenuView attachment 928137
Wewe kweli ni kituko kama jina lako lilivyoKaka AROON samahani kwa hili, kwenye mambo ya dini huwa sikuchukulii kwa umuhimu kabisa kwa chochote unachokipost
wewe ni miongoni mwa WaSabatho wasio na uwezo wa kufikiria hata kidogo, yaani kazi yako ni kucopy na kupaste, yaani hata tukiweka arguement za kawaida kabisa, wewe hauna uwezo wa kusimamia unachokiamini bali ni kwenda kwenye ma-archieve yako na kuchomoa vitu ambavyo havian uhusiano na mada uhusika
kaka Kuwa huru, mpe roho mtakatifu nafasi ya kukufungua akili, akupe uwezo wa kusoma na kutafakari. achana na hayo makitu ya kucopy na kupaste
huo ni ushauri wangu kwako kaka, Usiseme haujaonyeshwa njia
Hakuna sehemu aliwahi kusema Yesu sio Mungu, wewe ni muongo mkubwa kama.baba yenu Shetani
WAPAGANI HAWA HAPA WANAABUDU LIKINYAGO View attachment 927978
Wewe kweli kuabudu vinyago kumekuondolea hadi ufahamuKwa sababu husomi basi unafikiri kila mtu ni Wa hovyo? Na jingine ni kwamba alisema Umungu Wa Kristu nao ukiteseka msalabani.
Kaka AROON samahani kwa hili, kwenye mambo ya dini huwa sikuchukulii kwa umuhimu kabisa kwa chochote unachokipost
wewe ni miongoni mwa WaSabatho wasio na uwezo wa kufikiria hata kidogo, yaani kazi yako ni kucopy na kupaste, yaani hata tukiweka arguement za kawaida kabisa, wewe hauna uwezo wa kusimamia unachokiamini bali ni kwenda kwenye ma-archieve yako na kuchomoa vitu ambavyo havian uhusiano na mada uhusika
kaka Kuwa huru, mpe roho mtakatifu nafasi ya kukufungua akili, akupe uwezo wa kusoma na kutafakari. achana na hayo makitu ya kucopy na kupaste
huo ni ushauri wangu kwako kaka, Usiseme haujaonyeshwa njia
Umeliona ila umejifanya kipofu mtu mzima kukiri huwa ni ngumu hata kama anaona ni kweli kama nilivyokuthibitishiaEndeleeni kuwayumbisha hao hao RC lakini binafsi sijaona jibu la swali langu kwako.
Wewe kweli ni kituko kama jina lako lilivyo
Nakopi ndio biblia ,na nina blog zangu namiliki,
Wapi nimeenda kinyume, TATIZO UNA MAJIBU YAKO KICHWANI AMBAYO UMESHAMEZESHWA
Wewe kweli kuabudu vinyago kumekuondolea hadi ufahamu
Acha kudokoa , mnaokoteza huko mitandaoni mnakurupukaKasome hiyo hapo:
" Men need to understand that Deity suffered and sank under the agonies of Calvary"
(Manuscript 44, 1898, and the Seventh-day Adventist Bible Commentary, vol. 7, p. 907).
Atakuonesha wapi labda kwa hiyo biblia yake ya kiswahili cha sasa inayosema sabato ni siku ya jumamosi. Huku akitumia reference za hao anao waita wapagani. Sababu kama ameweza kutambua kuwa Yesu alikufa msalabani siku ya ijumaa ilihali biblia hajasema hivyo, ametumia mitazamo ya wale wanao itambua ijumaa kuu, pasaka and everything kuhalalisha Siku ya sabato ionekane ni jumamosi, (maana ndio hoja yao kuu hakuna hoja nyingine)Kaka kuwa na Blog hakukufanti wewe kuwa unapost vitu vya maana, kazi yako ni kuokota huku na kule, mapicha yasiyo na maana na kuyabandika kwenye kila uzi, kaa chinim ufundishwe kama huwezi kuongea na roho Mt. na kuweza kutafakari wew mwenyewe, siku zote nakuona unapingana na nafsi yako mwenyewe,
HOJA YAKO KUU HUWA NI NINI?, JE UNAWEZA KUSIMAMA KWENYE MAJADILIANO KWA KUSOMA MAANDIKO NA TUKAYATAFAKARI KWA PAMOJA BILA KWENDA KWENYE MAWEBSITE YAKO NA KUOKOTA VITU VYA UJINGA UJINGA VYA KUKUPUMBAZA AKILI?
HIVI KWELI UNAJUA TOFAUTI YA SINAGOGI NA HEKALU? NIONYESHE WAPI KWENYE BIBLIA WATU WALIENDA HEKALUNI SIKU YA SABATO
UNANIZUIA NISIWEKE PICHA? NAWEZA PICHA ZENYE AYA AMBAZO ZINAUJUMBE KAMA.ZINAKUKERA BAS MIMI SIWEZI KUACHA MAANA ZINA UJUMBE ,NAJUA UNAKUCHOMAKaka kuwa na Blog hakukufanti wewe kuwa unapost vitu vya maana, kazi yako ni kuokota huku na kule, mapicha yasiyo na maana na kuyabandika kwenye kila uzi, kaa chinim ufundishwe kama huwezi kuongea na roho Mt. na kuweza kutafakari wew mwenyewe, siku zote nakuona unapingana na nafsi yako mwenyewe,
HOJA YAKO KUU HUWA NI NINI?, JE UNAWEZA KUSIMAMA KWENYE MAJADILIANO KWA KUSOMA MAANDIKO NA TUKAYATAFAKARI KWA PAMOJA BILA KWENDA KWENYE MAWEBSITE YAKO NA KUOKOTA VITU VYA UJINGA UJINGA VYA KUKUPUMBAZA AKILI?
HIVI KWELI UNAJUA TOFAUTI YA SINAGOGI NA HEKALU? NIONYESHE WAPI KWENYE BIBLIA WATU WALIENDA HEKALUNI SIKU YA SABATO
Biblia haijasema hiyo siku ilikuwa ijumaa. Na nakuu hiyo siku ilikuwa ya maandalio. Na kama hoja yako inajikita hapo kwenye huo mstari, swali ni je unaitambua pasaka, Ijumaa kuu nk? ( Sina hakika kama utaelewa swali langu.)Umeliona ila umejifanya kipofu mtu mzima kukiri huwa ni ngumu hata kama anaona ni kweli kama nilivyokuthibitishia
Ila neno linasema ukweli wa neno utahubiriwa ulimwengu kote ili iwe ushuhuda halisemi ili muamini ila iwe ushuhuda ili asiwepo ambaye atasema mimi sikusikia ili wakati wa hukumu kila mtu akiri ni za kweli na haki hukumu za Mungu