Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Hizo aya zako mbili za mwisho hujazitolea ushahidi wa maandiko na hapo ndipo panapo leta ukakasi ktk kuamini Sabato ni Jumamosi
 
Wewe ni MUONGO.. nilikwambia kwenye post zilizopita..... SHETANI NDIYO BABA WA UONGO (imeandikwa)

Unasema" hakuna biblia iliyoandika habari za Ijumaa, Jumamosi au Jumapili "?

Hii ni nini? Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi - JamiiForums

Biblia ya kiswahili cha kisasa ambayo pia inapendelewa na wakatoliki
View attachment 928328
Kaka hizo ni Biblia za Kuchonga, Nyie Wasabato mna yenu, Jevoha Witness wanayao wao wamebadilisha neno Mungu na kuandika YEHOVA nk, Hakuna Biblia halisi yenye hilo andiko uliloliweka la kusema ilikuwa ijumaa, Kalamu ya waandishi imefanya yake na nyie Mafarisayo (wasabato) mmeyapokea
 
Acha uongo na uzandiki au kwakuwa AMRI.KUMI kwenu hazina kazi, bas ndio umeruhisiwa kusema uongo?

Wasabato lini wana biblia yao?

Unaweza kuniambia imechapwa wapi hiyo biblia yao?
 
Wewe zungukaaaaaaaa mwisho wa siku tunarudi pale pale, mnatumia reference za hao mnao waita wapagani kujiaminisha sabatho ni siku ya jumamosi. Lakini hakuna biblia iliyo andika siku ijumaa, siku jumamosi siku jumapili, rejea kitabu cha mwanzo. Kama wakatoliki wanaamini maneno ya papa, why ninyi mnaamini maneno ya Bi Hellen.
Nilikupa mstari kuhusu dini ya kweli.
Kuna mwingine kaongezea IMANI na MATENDO. Sasa wewe pamoja na kuihubiri siku ya jumamosi, unahakika IMANI yako na MATENDO yatakupeleka mbinguni.
Tafakari....
 
MCHENI MUNGU NA KUZISHIKA AMRI ZAKE

Dunia inaomboleza,inazimia,ulimwengu unadhoofika,unazimia,watu wakuu wa dunia wanadhoofika.tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa,kwa maana wameziasi sheria,wameibadili amri.wamelivunja agano la milele.Ndiyo sababu laana imeila dunia hii,na watu wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia,ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea,watu waliosalia wakawa wachache tu” ISAYA 24:4-6
Mpendwa i,tafakari sana aya hizi

unaweza kuungana na kile maandiko yanachoonyesha kuhusu hali halisi ya Dunia yetu hii leo.

Laana inaila dunia yetu hii leo kwa sababu zifuatazo
1. “Wameziasi sheria”
2. “Wameibadili amri”
3. “wamelivunja agano la milele”
Hivyo katika waraka huu, mungu anahitaji kutuonyesha namna ya kuepukana na laana hiyo.ila tu nai mpaka pale tutakapogundua mambo yafuatayo:-
1. Amri hizo za Mungu ni zipi?na ni ngapi?
2. Amri hizo za Mungu ni za muhimu mpaka sasa?(kizazi hiki)
3. Amri hizo za Mungu,kila mtu anapaswa kuzijua na kuzitii?

Na anawajibishwa kwa kutozifahamu au kuzivunja? Kwa hayo na yanayotokana na hayo ndiyo lengo la waraka huu. Mungu akubariki unaposoma Neno Lake
FB_IMG_1541730234505.jpeg
 
Wewe zungukaaaaaaaa mwisho wa siku tunarudi pale pale, mnatumia reference za hao mnao waita wapagani kujiaminisha sabatho ni siku ya jumamosi. Lakini hakuna biblia iliyo andika siku ijumaa, siku jumamosi siku jumapili, rejea kitabu cha mwanzo. Kama wakatoliki wanaamini maneno ya papa, why ninyi mnaamini maneno ya Bi Hellen.
Nilikupa mstari kuhusu dini ya kweli.
Kuna mwingine kaongezea IMANI na MATENDO. Sasa wewe pamoja na kuihubiri siku ya jumamosi, unahakika IMANI yako na MATENDO yatakupeleka mbinguni.
Tafakari....
NARUDIA TENA TOKENI BABELI , MSIJE KUPATILIZWA NA GHAZABU YA MUNGU

UFUNUO 14:12 Hapa ndipo penye Subira ya WATAKATIFU HAO WAZISHIKAO AMRI za Mungu na IMANI YA YESU.

WANAOIPINGA SABATO wao wanasema WANAYE Yesu na hawahitaji kusikia amri za Mungu.

Lakini haohao wanasema wao wameokoka na ni watakatifu, wanasema Yesu anatosha, huhitaji kushika amri za Mungu, ZIMEGOGOMELEWA MSALABANI.

Ufunuo inasema watakatifu

1. WANASHIKA AMRI ZA MUNGU,

2. WANA IMANI YA YESU.

TAYARI MPAKA HAPO USHAJIWEKA UPANDE WA YULE JOKA
FB_IMG_1541729067752.jpeg
 
Mungu hajawahi kusimama kufanya kazi. Yesu ambaye alihusika katika uumbaji anasema Baba yake hajawahi kuacha kufanya Kazi. Kwa hiyo,kama unasema alisitisha kazi,ni kazi zipi? Ni lazima ufahamu kwamba Kitabu cha Mwanzo hakiwasilishi matukio halisi kwa mfuatano(progressive events) Bali kinatumia lugha ya picha katika kueleza kwamba Mungu alitumia muda Fulani katika kufanya uumbaji na baadaye viumbe wake wakakengeuka. Conception ya muda tulionayo wanadamu sio aliyo nayo Mungu.

Tunavyohesabu sisi muda sio ambavyo Mungu anahesabu pia. Ile kauli kwamba siku moja ni sawa na miaka 1000 kwa Mungu haimaanishi kweli kwamba ni miaka 1000 Bali muda mrefu.

Kwa hiyo,naona mnahangaishwa sana la conception ya 6days literal creation. Biblia inaposema ikawa jioni ikawa asubuhi haimaanishi Jumapili,Jumatatu...na ulimwengu haukuumbwa kwa siku sita.
Great thinker
 
Wewe zungukaaaaaaaa mwisho wa siku tunarudi pale pale, mnatumia reference za hao mnao waita wapagani kujiaminisha sabatho ni siku ya jumamosi. Lakini hakuna biblia iliyo andika siku ijumaa, siku jumamosi siku jumapili, rejea kitabu cha mwanzo. Kama wakatoliki wanaamini maneno ya papa, why ninyi mnaamini maneno ya Bi Hellen.
Nilikupa mstari kuhusu dini ya kweli.
Kuna mwingine kaongezea IMANI na MATENDO. Sasa wewe pamoja na kuihubiri siku ya jumamosi, unahakika IMANI yako na MATENDO yatakupeleka mbinguni.
Tafakari....

Hawa jamaa huu ujinga waliouoga mpaka unatia kinyaa. Ellen aliwadanganyeni kwamba alikuwa amepewa unabii wa mambo yapatao 2000 na hadi Leo wanaamini hivyo.

Kwa muda mrefu wametuchokoza. Sasa tutakuwa tunamwaga humu madudu ya Ellen kila baada ya muda,moja baada ya jingine.

Unaweza kushangaa Ellen aliwaambia wasabato kuwa eti Yesu atarudi nyakati za Usiku wakati YESU alishasema hakuna ajuaye siku,muda na wala majira. Sasa ukiona watu wanaamini jambo la namna hiyo ujue wana mtikisiko Wa uelewa na sio bure.
 
Uzuri kiimani ni WEPESI sana. wewe unaweza ongea taratibu, yeye akatumia nguvu nyingi kukuaminisha anachokiongea ndio sahihi.
NINYI WASABATO SOMENI HAPA
Ni siku gani ya sabato, Jumamosi au Jumapili? Wakristo wastahili kuitunza hii siku?
 
Kwa kuto itakasa na kuishika sabato wakistro wengiii tutaenda motoni, na ndiyo maana njia ile indayo uzima ni nyembamba, binafsi nilikata govi, nikaacha kula kitimoto, bado hili la sabato
 
Vipi kuhusu uzinzi, uchoyo, tamaa, ulevi nk umeacha maana yote hayo ni machukuzo kwa MUNGU.
 
Biblia kiswahili cha kisasa ,

Hii ambayo haijataja ni kiswahili cha kimvita

UNAULIZA SABATO NI LINI, WAKATI KANISA LAKO LINASHEREKEA IJUMAA KUU, ALHAMIC KUU, NA PASAKA

kwanini usiwaulize mapadri, wachungaji wako, wanaokwambia Yesu amefufuka jumapili ,
Badala ya kujibu swali unaleta porojo, anyway kama ukishindwa kunijibu sio lazima uni-quote kwa porojo
 
Back
Top Bottom