Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Atakuonesha wapi labda kwa hiyo biblia yake ya kiswahili cha sasa inayosema sabato ni siku ya jumamosi. Huku akitumia reference za hao anao waita wapagani. Sababu kama ameweza kutambua kuwa Yesu alikufa msalabani siku ya ijumaa ilihali biblia hajasema hivyo, ametumia mitazamo ya wale wanao itambua ijumaa kuu, pasaka and everything kuhalalisha Siku ya sabato ionekane ni jumamosi, (maana ndio hoja yao kuu hakuna hoja nyingine)

Nimemuuliza swali alivyo jibu na biblia ilivyo andikwa ni tofauti
Na bado kuna mambo mengi wana pretend tu ki biblia hayapo.View attachment 928206
TUAMBIE WEWE SABATO NI LINI

MAANA MMEKOSA MAANDIKO YA KUWASAPOTI KUFANYA IBADA SIKU YA JUMAPILI

MMETAFUTA KICHAKA CHA KUJIFANYA HAMUIJUI SABATO NI LINI

MMESAHAU HATA PAPA ALIYEANZISHA IBADA YA JUMAPILI BADO ANAKILI SABATO NI JUMAMOSI ILA AMEWAPA JUMAPILI ILI MPOTEE MAZIMA
FB_IMG_1540529670203.jpeg
 
Biblia haijasema hiyo siku ilikuwa ijumaa. Na nakuu hiyo siku ilikuwa ya maandalio. Na kama hoja yako inajikita hapo kwenye huo mstari, swali ni je unaitambua pasaka, Ijumaa kuu nk? ( Sina hakika kama utaelewa swali langu.)
SHETANI ANAWAYUMBISHA HADI HURUMA

Baada ya kukosa maandiko yanayowasapiti mfanye ibada siku ya Dominica

Mmehamia kujifanya hamjui Siku ya sabato ni lini

BIBLIA YANGU INANIAMBIA NIKISHINDWA JAMBO AU NIKIHITAJI MSAADA NIWAULIZE WAYAHUDI (Warumi 3:1-3)

Maana wao ndio WALIPEWA MAUSIA YA MUNGU

WAYAHUDI HAWAJAWAHI KUPOTEZA KALENDA YAO

MPAKA KESHO SABATO NI JUMAMOS

PAPA ALIYEWARUBUNI NA YEYE ANAKIRI SABATO NI SIKU YA JUMAMOSI

UISLAMU uliharibu majina ya siku nao unakiri sabato ni JUMAMOSI

ETI wewe upo mbagara rangitatu, unajifanya hujui sabato ni lini ,ili upate kichaka cha kuivunja

BIBLIA INANIAMBIA MTAFYEKWA WOTE
 
Rejea mwanzo wa post, maana alie post si wewe, utajua hoja kuu hapa ni nini. so inawezekana misuli yashingo imekutoka, na majibu ya mihemko kumbe hujaekewa why mtu ana reply kwenye hii thread.
Please naomba nilale. Endelea kuitukuza sabatho maana imeshaingia kitambo.
 
UNANIZUIA NISIWEKE PICHA? NAWEZA PICHA ZENYE AYA AMBAZO ZINAUJUMBE KAMA.ZINAKUKERA BAS MIMI SIWEZI KUACHA MAANA ZINA UJUMBE ,NAJUA UNAKUCHOMA

UNGEKUWA NA ROHO MTAKATIFU USINGE MUHESHIMU PAPA KULIKO MUNGU

UNASEMA ETI WATU HAWAKWENDA HEKALUNI SIKU YA SABATO

UNATIA MASHAKA SANA

KWANZA HUJUI KWANINI WAISRELI WALIANZISHA MASINAGOGI,

HEKALU LIPO TOKA ENZI ZA KINA SULEMAN, NA TOKA ENZ HIZO WANAFANYA IBADA SIKU YA SABATO

AU hujasoma.daudi alipofukuzwa na Sauli aliingia hekaluni akachukua mikate ya wonyesho ambayo huliwa siku ya sabato na makuhani?

HALAFU UNASEMA WEWE UNAONGOZWA NA ROHO, nachelea kusema ni ROHO MCHAFU APINGAE AMRI ZA MUNGU

Nakupa hints, Masinagogi yameanza kutumika baada ya kutoka utumwani kipind cha nabii MALAKI, na walitengeneza masinagogi mbalimbali maana hekalu lilikuwa moja huko Yerusalemu

SASA WEWE LETA ANDIKO LINALOKURUHUSU UFANYE IBADA SIKU YA JUMAPILI,MUULIZE HUYO ROHO WAKO

Najua picha zinakukera , nakuwekea hiyo hapo chiniView attachment 928207

shida yako ndipo ilipo hapo hapo, hizo picha zina maanisha nini sasa?, yaani hata kama una vitu vya maana vya kuongea unapoanza kuchota mapicha yaliyotumwa na yasiyo na connection yoyote unaonyesha una ufinyu wa kuelewa unacvhoandika

hebu leteb hoja za maana tujadili, hoja kwa hoja achana na hayo mapicha yasiyo na kichwa wala miguu,

nadhani wewe ni mtoto, Papa Yohane Paulo II alipopigwa risasi na Kupona Wasababtho wa Tanzania kwa kucopy wakasema maandiko yametimia, Jeraha la mahuti limepona kadiri ya maandiko, leo wapo kimya kusuburi tukio jingine ili walitafutie verse ya ufunuo

lete hoja tujadili achana na hayo mapicha ya ujinga
 
Rejea mwanzo wa post, maana alie post si wewe, utajua hoja kuu hapa ni nini. so inawezekana misuli yashingo imekutoka, na majibu ya mihemko kumbe hujaekewa why mtu ana reply kwenye hii thread.
Please naomba nilale. Endelea kuitukuza sabatho maana imeshaingia kitambo.
Post nimeisoma.,na uliniuliza , nimekujibu ila unajitia upofu hujui sabato ni lini

Endelea kukana maneno yako,

Sabato ilishaingia lkn sizuiwi kukufundisha kweli ,uachane na MAPOKEO
 
Luka :23:50
Kulikuwa na mtu mmoja jina lake Yosefu, mwenyeji wa kijiji kimoja cha Wayahudi kiitwacho Arimathaya. Alikuwa mtu mwema anayeheshimika.

Luka :23:52
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.

Luka :23:53
Kisha akaushusha mwili huo kutoka msalabani, akauzungushia sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.

Luka :23:54
Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, na maandalio ya siku ya Sabato yalikuwa yanaanza.

Hii biblia imeweka wazi kabisa kwa kuweka siku kuwa ni ijumaa Yesu aliposulubiwa pale msalabani na hivyo ilibidi waharakishe kumzika maana ijumaa ilikuwa ndiyo siku ya maandalio kabla ya sabato kuingia na kama ijumaa ndiyo siku ya maandalio ya sabato, sabato itakuwa siku gani? Hili utajijibu mwenyewe na nafsi yako

Luka :24:1
Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.
Safi sana ubarikiwe. Nilikuwa naitafuta biblia ya uandishi huu
 
ni wapi aliposema hayo? jifunzeni kuweka reference, siyo mnalisha maneno ambayo hayapo.

Tulia utapewa maelezo ya kina. Unafikiri anasingiziwa? Tatizo lenu hamsomi. Mumekalia Lesson tu. Ellen White aliandika mambo mengi sana na kisha kuwauzieni. Bahati mbaya Wasabato Wa sasa hamjaumiza vichwa vyenu kusoma mafundisho yake mbalimbali.
 
Endeleeni kuwayumbisha hao hao RC lakini binafsi sijaona jibu la swali langu kwako.

Hakuna Biblia ambayo imeongelea mambo ya Ijumaa,Jumamosi na Jumapili. Naona walichofanya hawa jamaa wamefanya tafsiri ya Biblia yao kwa kuingiza Maneno, Ijumaa, Jumamosi.

Kwa kweli hawa jamaa na viongozi wao ni watu Wa hovyo sana. Waliona kwa muda mrefu walikuwa wanakosa ushahidi Wa siku hizo moja kwa moja katika Biblia na hivi wameona wazitumbukize kabisa. Kwa walivyo wajinga, wamesahau kwamba kuna Manuscripts za Vitabu vyote hivyo vya Biblia. Manuscripts ndio zimezuia watu Leo kuja na tafsiri zao tu au pia ni hizo hizo zimesaidia kugundua kwamba kuna Mahali kuna baadhi ya Maneno yalitafsiriwa vibaya.

Kwa hiyo,huu mchezo walioufanya hawa jamaa wajue baadaye utawaumiza sana. Huu ndio ushahidi Wa wazi kwamba hawa jamaa ni Kanisa la watu WAONGO kama walivyokuwa waanzilishi wao.
 
Acha kudokoa , mnaokoteza huko mitandaoni mnakurupuka

Mngekuwa mnasoma vitabu vya egw full

Bas mngeacha kuabudu

Masanamu na mavinyago

Mimi sikuandika hiyo Manuscript. Aliiandika Ellen White. Lete ushahidi kwamba hakuandika yeye. Hicho ni Kitabu chake. Kuna watu wenye akili walishanunua maandiko yote ya White na wameyahifadhi. Kwa hiyo,hata kama leo mtasema maandiko hayo hamunayo, watu watayatoa.
 
Hakuna Biblia ambayo imeongelea mambo ya Ijumaa,Jumamosi na Jumapili. Naona walichofanya hawa jamaa wamefanya tafsiri ya Biblia yao kwa kuingiza Maneno, Ijumaa, Jumamosi.

Kwa kweli hawa jamaa na viongozi wao ni watu Wa hovyo sana. Waliona kwa muda mrefu walikuwa wanakosa ushahidi Wa siku hizo moja kwa moja katika Biblia na hivi wameona wazitumbukize kabisa. Kwa walivyo wajinga, wamesahau kwamba kuna Manuscripts za Vitabu vyote hivyo vya Biblia. Manuscripts ndio zimezuia watu Leo kuja na tafsiri zao tu au pia ni hizo hizo zimesaidia kugundua kwamba kuna Mahali kuna baadhi ya Maneno yalitafsiriwa vibaya.

Kwa hiyo,huu mchezo walioufanya hawa jamaa wajue baadaye utawaumiza sana. Huu ndio ushahidi Wa wazi kwamba hawa jamaa ni Kanisa la watu WAONGO kama walivyokuwa waanzilishi wao.
Wewe ni MUONGO.. nilikwambia kwenye post zilizopita..... SHETANI NDIYO BABA WA UONGO (imeandikwa)

Unasema" hakuna biblia iliyoandika habari za Ijumaa, Jumamosi au Jumapili "?

Hii ni nini? Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi - JamiiForums

Biblia ya kiswahili cha kisasa ambayo pia inapendelewa na wakatoliki
Screenshot_2018-11-10-06-47-39.jpeg
 
Wewe ni MUONGO.. nilikwambia kwenye post zilizopita..... SHETANI NDIYO BABA WA UONGO (imeandikwa)

Unasema" hakuna biblia iliyoandika habari za Ijumaa, Jumamosi au Jumapili "?

Hii ni nini? Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi - JamiiForums

Biblia ya kiswahili cha kisasa ambayo pia inapendelewa na wakatoliki
View attachment 928328

Huu ndio ujinga tunaowaambia. Wakatoliki wapendelee version ya Biblia yenu kivipi? Kumbe Kanisa Katoliki likifanya jambo mnafurahia sana.
 
Mimi sikuandika hiyo Manuscript. Aliiandika Ellen White. Lete ushahidi kwamba hakuandika yeye. Hicho ni Kitabu chake. Kuna watu wenye akili walishanunua maandiko yote ya White na wameyahifadhi. Kwa hiyo,hata kama leo mtasema maandiko hayo hamunayo, watu watayatoa.
Acha uzandiki, unadokoa ka mstari kama ilivyotabia yenu

Waabudu masanamu na wapagan wakubwa nyie
 
MCHENI MUNGU NA KUZISHIKA AMRI ZAKE

Dunia inaomboleza,inazimia,ulimwengu unadhoofika,unazimia,watu wakuu wa dunia wanadhoofika.tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa,kwa maana wameziasi sheria,wameibadili amri.wamelivunja agano la milele.Ndiyo sababu laana imeila dunia hii,na watu wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia,ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea,watu waliosalia wakawa wachache tu” ISAYA 24:4-6
Mpendwa i,tafakari sana aya hizi

unaweza kuungana na kile maandiko yanachoonyesha kuhusu hali halisi ya Dunia yetu hii leo.

Laana inaila dunia yetu hii leo kwa sababu zifuatazo
1. “Wameziasi sheria”
2. “Wameibadili amri”
3. “wamelivunja agano la milele”
Hivyo katika waraka huu, mungu anahitaji kutuonyesha namna ya kuepukana na laana hiyo.ila tu nai mpaka pale tutakapogundua mambo yafuatayo:-
1. Amri hizo za Mungu ni zipi?na ni ngapi?
2. Amri hizo za Mungu ni za muhimu mpaka sasa?(kizazi hiki)
3. Amri hizo za Mungu,kila mtu anapaswa kuzijua na kuzitii?

Na anawajibishwa kwa kutozifahamu au kuzivunja? Kwa hayo na yanayotokana na hayo ndiyo lengo la waraka huu. Mungu akubariki unaposoma Neno Lake
 
Huu ndio ujinga tunaowaambia. Wakatoliki wapendelee version ya Biblia yenu kivipi? Kumbe Kanisa Katoliki likifanya jambo mnafurahia sana.
"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na
tamaa za baba yenu [kuvunja Amri Kumi za
Mungu] ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye
alikuwa MWUAJI [Kutoka 20:13] tangu
mwanzo; wala hakusimama katika kweli
[Zaburi 119:142; Yohana 17:17], kwa kuwa
hamna hiyo kweli ndani yake. ASEMAPO
UONGO [Kutoka 20:16], husema yaliyo yake
mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na
baba wa huo." Yohana 8:44.
FB_IMG_1541823052366.jpeg
 
Huu ndio ujinga tunaowaambia. Wakatoliki wapendelee version ya Biblia yenu kivipi? Kumbe Kanisa Katoliki likifanya jambo mnafurahia sana.
Wewe ni MUONGO... unaendeleza uongo.. BIBLIA za kiswahili zinaandikwa na BIBLE SOCIETY OF TANZANIA. HAKUNA BIBLIA YETU. WAKRISTO WOTE TUNATUMIA BIBLIA HIZO

SHETANI ANAKUTUMIA KUENDELEZA UONGO NA KUPOTOSHA WATU
 
Back
Top Bottom