Siku ya pili tu lakin!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
jaman wana jf leo ni siku ya pili kuwa humu ndan na sekunde baada ya sekunde nazid kunogewa cjui ntalog off saa ngap!
 
jaman wana jf leo ni siku ya pili kuwa humu ndan na sekunde baada ya sekunde nazid kunogewa cjui ntalog off saa ngap!

Kalale sasa, utaingia tena ukishaamka.

Wenzako tumesha kuwa Wateja wa nguvu hatupati hata usingizi wewe ndio kwanza unajiunga na Uteja wetu shauri yako ukionja asali hutataka kuiachia iende zake Mchanga wa pwani huo mimi simo...........
 
endelea ivo ivo hadi mkeo atakapokupiga shoka la utosi kwa kung'ang'ania ki simu.

Baada ya hapo utajua kubalansi dayati ya jf.
 
Jitahidi ufanye kazi. Sio kila saa upo jf huku mambo mengine yanayumba.
 
endelea ivo ivo hadi mkeo atakapokupiga shoka la utosi kwa kung'ang'ania ki simu.

Baada ya hapo utajua kubalansi dayati ya jf.

cjaoa kongosho mi bhado nafight kumpata nimetoa zabun kwenye love connection bhado cjapata
 
Mhhh n a bado huo mwanzo tu,mpaka uachishwe kazi ndo utaujua vzuri utamu wa jf
 
Mi kila ninapojaribu kuidis Jf japo kwa siku moja tu inashindikana. Azante zana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…