Siku ya pili tu lakin!

Siku ya pili tu lakin!

Kwani umeshafika kwenye kijiwe cha MMU? huko ndio utafukuzwa kazini kabisaaaaaa, huko nomaaaa, utapandwa hadi na munkari taratibu tu
 
endelea tuu kuwa online. ukizoea utaona kawaida utakuwa unaingia huku kwa nadra
 
Kwani umeshafika kwenye kijiwe cha MMU? huko ndio utafukuzwa kazini kabisaaaaaa, huko nomaaaa, utapandwa hadi na munkari taratibu tu

we unipend unaniombea mabaya daah!
 
Habar ndo hyoo ukiwa nje watamani ndani na sasa upo ndani...............
 
Back
Top Bottom