Siku ya pekee kwangu,je wenzangu mnaionaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya pekee kwangu,je wenzangu mnaionaje?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ringo Edmund, Nov 11, 2011.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku ya tofauti sana ni tar 11.11.2011.
  Ni karne kumi imepita tangu 11.11.1111.
  Karne moja tangu 11.11.1911.
  Tusubiri karne moja kuwa 11.11.2111.
  Naiona ya pekee kwangu na nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu kwani hakuna uwezekano wa kuiona hiyo inyofuata.
  Kwa kuanzia nimeamka tofauti, nimevaa tofauti,nitakula tofauti, na nitalala tofauti.
  Na hii thread nilitaka kuirusha saa 11:11 am.nimeshindwakwa sababu ya mipangilio.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  for me i am sick,
  najipanga panga hapa niende hosp.
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ooh! So bad jameni!!!mamdogo wangu anaumwa!! Ni mbaya mamyy??pole sana!! Ntakuja kukusabahi home leo jion pole!
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mmmmmmh!...everywhere is war_war in dar(ubungo),mby(mwanjelwa),arusha,babati,singida etc,....what a terrible coincedence....sitamani kuiona teeeeeeeena
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kwangu hii tarehe nitakula bia nyingi sana na ukizingatia tarehe hii imeangukia Ijumaa!
   
 6. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Astaghafillulah...yoo
   
Loading...