JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,359
- 9,909
Mkuu umeshajaribu kufanyiwa borodigestion?!.... hebu jaribu kidogo hiyo therapy!Nina siku nne sijanya.
Nikienda chooni naishia kujamba tu.
Nitakua na tatizo gani?
Mkuu umeshajaribu kufanyiwa borodigestion?!.... hebu jaribu kidogo hiyo therapy!Nina siku nne sijanya.
Nikienda chooni naishia kujamba tu.
Nitakua na tatizo gani?
Twende mitaa ya 4451 ukanipatie maelekezo Kwanza ya ile sijui kitu gani nyekundu hivi iko kwa miguu na naihitaji ile miguu..!!!😅Rhabhekhaa!!
😂😂😂😂 wee, em rahisisha code? Ni Selfika au?Twende mitaa ya 4451 ukanipatie maelekezo Kwanza ya ile sijui kitu gani nyekundu hivi iko kwa miguu na naihitaji ile miguu..!!!😅
Woiiiiiih
Naaaaam ,Mheshimiwa😂😂😂😂 wee, em rahisisha code? Ni Selfika au?
Mshukuru , sio lazima kunya.Nina siku nne sijapata haja kubwa.
Nikienda chooni naishia kujamba tu.
Nitakua na tatizo gani?
Hii nilishuudia Kwa mtoto kapogwa bomba la sabuni ya omo aiseh alirusha kinyesi kilichokaa ndani wik nzimaTafuta mafuta ya olive kunywa, tafuta syringe vuta maji ya sabuni punch kwenye kitobo cha kinyeo, mengine yanakuja
Wee mbona nilishatoa ile picha, au unazungumzia ipii?.Naaaaam ,Mheshimiwa
Ukimaliza kuiondoa huko itabidi unipe maelekezo mengine sehemu fulani hivi🤣
Ulitaka kusema nini??Mungu nifundishe kunyamaza
Nimerejea mbona hakuna uliyofuta , kuanzia kipindi kile cha karibu "mgeni na kutafuta marafiki " Hadi hapo selfika ,au nikakuite pale uone?Wee mbona nilishatoa ile picha, au unazungumzia ipii?.
Unanitisha sasa jamanii? 😂😂😂😂
Chemba yake izibuliwe ili haja zake za nyuma zitatuliweUlitaka kusema nini??
Kumbuka huyu sio hasnzu BICHWA KOMWE - wala DIVISHENI FOO hivyo ushauri wako uendane na muhusika.
Watu wanafikir utaniHii nilishuudia Kwa mtoto kapogwa bomba la sabuni ya omo aiseh alirusha kinyesi kilichokaa ndani wik nzima
Hahaha 😂😂Mimi sipendagi kunya, natamani kukiziba kinyeo kwa pamba.
Heri yenu mnaojamba, inaleta faraja sana.
Sijui ntapata wapi dawa ya kuzuia mavi.
Cc: secretarybird Vishu Mtata Yohimbe bark na mjomba Harmful