Yeah, ndiyo ukwelikunyakunya kunatokana na hali ya kulakula, sasa kama unakula mlo mmoja hafifu kwa siku utakunyaje siku hiyohiyo? Itabidi usipate msukumo mkubwa wa haja kubwa hadi tumbo na utumbo vijae
Haki nimecheka sana๐ ๐ ๐ ๐Kwa hali ya uchumi ilivyo Tanzania,unye kwa chakula gani ulichokula!?
Wapo wanaokunya mkuu... kilamtu ale kwa urefu wa kamba yake
Kula Yakoaina ushirikiano ndo maana upati hajaaNina siku nne sijanya.
Nikienda chooni naishia kujamba tu.
Nitakua na tatizo gani?
Huku kwetu kunya anasa, mtu hata akijamba ushuzi hauna taste kabisaKwa hali ya uchumi ilivyo Tanzania,unye kwa chakula gani ulichokula!?
Wapo wanaokunya mkuu... kilamtu ale kwa urefu wa kamba yake
Hatari sanaHuku kwetu kunya anasa, mtu hata akijamba ushuzi hauna taste kabisa
Daktari koka!๐๐๐๐๐
Mie nitampa dawa sio ya kunya, ni aharishee kabisaa.
Rhabhekhaa!!Daktari koka!