Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,292
- 28,722
Ila hujaona kama inaondoa gharama ya kila siku.Ila pole ndugu,umechukua hatua gani kupata tiba stahiki?Natarajia umeenda hospitali tayari kwa ajili ya uangalizi,tiba ama ushauri sahihi.Nina siku nne sijapata haja kubwa.
Nikienda chooni naishia kujamba tu.
Nitakua na tatizo gani?