Shinson
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 219
- 260
Hatari kwelikweliNdio hivyo mkuu. Kulikuwa na mti wa mzambarau jirani kabisa na mochwari ulikuwa unatoa matunda makubwa hatari. Basi mambo ya kitoto hatujali wala nini tunajichana tu.
Hatari kwelikweliNdio hivyo mkuu. Kulikuwa na mti wa mzambarau jirani kabisa na mochwari ulikuwa unatoa matunda makubwa hatari. Basi mambo ya kitoto hatujali wala nini tunajichana tu.
Sio kawaida asee!
Ni wachache sana wanaweza kusahau!Dah acha kabisa. Nikiwa darasa la kwanza shule zetu za kijiji hazina milango wala madirisha. Kuna mtu alichoshwa na maisha akaamua kujinyonga kwenye darala letu. Asubuhi wanafunzi wanafika shule wanakuta kitu kinaning'inia darasani. ilikuwa siku mbaya sana kwangu. Kwa akili za kitoto nilikuwa mstari wa mbele kuangalia ile maiti ikining'inia pale zaidi ya masaa 5 hadi polisi walipokuja kuitoa!! ubongo wangu ulibaki na picha ambayo haiwezi futika hadi leo.
Usiku sikulala ilibidi nilale kati kati ya baba na mama aiseee! nilionywa nisirudie kukimbilia maiti!!!
Huyo alieharibika ndo duu..!!Nilishuhudia maiti mbili ambazo mpk Leo picha hazifutiki kichwani mwangu. Moja ni ya mtu ambaye alikufa kwenye Maji alikuja kutolewa tumeshamsahau limebaki fuvu na mikono imebaki vidole tu tulimtambuankwa nguo alizokua amevaa. Mwingine nikimshuhudia akiwa amejinyonga kwenye mti pembeni ya mto. Taswira zao hazifutiki kichwani japokua no miaka mingi
Watu walikata tamaa kumtafuta nini???Nilishuhudia maiti mbili ambazo mpk Leo picha hazifutiki kichwani mwangu. Moja ni ya mtu ambaye alikufa kwenye Maji alikuja kutolewa tumeshamsahau limebaki fuvu na mikono imebaki vidole tu tulimtambuankwa nguo alizokua amevaa. Mwingine nikimshuhudia akiwa amejinyonga kwenye mti pembeni ya mto. Taswira zao hazifutiki kichwani japokua no miaka mingi
Walishakata tamaa kabisa alikuja kuonekana na watu waliokua wanavua samakiWatu walikata tamaa kumtafuta nini???
Sio kawaida asee!
Mmmmh!
Sio kawaida asee!
Mmmmh!
Sio kawaida asee!
Mmmmh!
Haha..ila mkuu waonekana mbishi sanaSio kawaida asee!
Mmmmh!
Umeshazizoea? unafanya kazi mochwali gani?
Mimi pia sitasahau kabisa. Alifariki bibi yetu nikiwa darasa la nne mwaka 1982. Wakati wa heshima za mwisho nikamuona, duh......yaani hata mchana siwezi kuingia ndani peke yangu. Kuna siku nilitumwa kitu ndani, nikaingia kimachale nikakutana na paka mlamgoni anatoka kwa kasi. Siku hiyo kidogo nitwaliweDah nashindwa hata kusimulia, ilikua hatari sana