Siku ya kwanza kuona Maiti

Dah acha kabisa. Nikiwa darasa la kwanza shule zetu za kijiji hazina milango wala madirisha. Kuna mtu alichoshwa na maisha akaamua kujinyonga kwenye darala letu. Asubuhi wanafunzi wanafika shule wanakuta kitu kinaning'inia darasani. ilikuwa siku mbaya sana kwangu. Kwa akili za kitoto nilikuwa mstari wa mbele kuangalia ile maiti ikining'inia pale zaidi ya masaa 5 hadi polisi walipokuja kuitoa!! ubongo wangu ulibaki na picha ambayo haiwezi futika hadi leo.

Usiku sikulala ilibidi nilale kati kati ya baba na mama aiseee! nilionywa nisirudie kukimbilia maiti!!!
 
Nilishuhudia maiti mbili ambazo mpk Leo picha hazifutiki kichwani mwangu. Moja ni ya mtu ambaye alikufa kwenye Maji alikuja kutolewa tumeshamsahau limebaki fuvu na mikono imebaki vidole tu tulimtambuankwa nguo alizokua amevaa. Mwingine nikimshuhudia akiwa amejinyonga kwenye mti pembeni ya mto. Taswira zao hazifutiki kichwani japokua no miaka mingi
 
Ni wachache sana wanaweza kusahau!
 
Huyo alieharibika ndo duu..!!
 
Watu walikata tamaa kumtafuta nini???
 
Dah nashindwa hata kusimulia, ilikua hatari sana
Mimi pia sitasahau kabisa. Alifariki bibi yetu nikiwa darasa la nne mwaka 1982. Wakati wa heshima za mwisho nikamuona, duh......yaani hata mchana siwezi kuingia ndani peke yangu. Kuna siku nilitumwa kitu ndani, nikaingia kimachale nikakutana na paka mlamgoni anatoka kwa kasi. Siku hiyo kidogo nitwaliwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom