Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,685
Wanaume huo ni ujumbe wetu kabisa.
Hawa viumbe kwenye kitanda wanalizwa na mengi.
Hawa viumbe kwenye kitanda wanalizwa na mengi.
What if anayekupenda wewe haumpendi. Bado nafsi itakusuta ?Mtu anayekupenda ukimsaliti lazima nafsi ikusute haswaaa.
Najua hutaki kisa watu wataona.Staki[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hapana my love!!Kwani umewahi kunisaliti?[emoji16][emoji16]
Kwani ushawahi kucheat mchumba?!.
Ukizoea ku-cheat unaona kitu cha kawaida kabisa, wala nafsi haikusuti, wala hujiulizi mara mbili. Ila siku za mwanzo kweli unajisikia vibaya ukimkumbuka mwenzako.
AbeeeeMama sabrinaaaaaaa
Sidhani kama huo uwezo nitaupata, "nitashindwa hata kusimama"[emoji16][emoji16]Kwani ushawahi kucheat mchumba?!
[emoji7][emoji106]Hapana my love!!
Hata wazo sijawahi pata[emoji7]
Msidhani tunalia mnatulidhisha wengi e wanalia wanawaua na ukimwi sasa roho zinawasutaWanaume huo ni ujumbe wetu kabisa.
Hawa viumbe kwenye kitanda wanalizwa na mengi.
Nimeipenda response yako [emoji106] [emoji106] [emoji106]Abeeee
Ahahahahahhnyuzi za MMU zinahitaji ukomavu! Vinginevyo, unapiga mtu kibuti hivi hivi!
YapMama Sabrina,mama wa show za rough,show za kibabe.
ShukraniNimeipenda response yako [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Nimekupenda bure.
HahahaSidhani kama huo uwezo nitaupata, "nitashindwa hata kusimama"[emoji16][emoji16]
AsanteNimekupenda bure.
Wanawake bwana,sijui hata mna akili gani!!!kwa sentence yako hii inaonekana baada ya kuchepuka na boya lako la mwanzo ukajiliza ulikuja/unachepuka tena na boya mwengine.Ni sawa lakini sikurudia tena na huyo jamaa
Bado uko nae mpaka sasaSiyo tabia yangu,nilikuwa nampenda boy wangu sana