Kitu nimegundua kuanzia mwanzo mpaka hapa katika comments, wale wenye wako na kipato ndio wanaongea ongea maswala yya kuandika wosia kisheria sijui mttoto na mke wangu arithi koti nakadhalika nakadhalika. Sie akina pangu pakavu tunataka tukifa tuzikwe tu, vyovyote vile cha msingi tuzikwe.
BINAFSI nataka niwajulishe ndugu zangu siku nikienda, wajitahidi wanifukie mavumbini, nachukia na sipendi hii tabia ya kujengewa sijui na masementi mara marumaru SITAKI KABISA. Unakuta maishani sijafanikiwa hata kujenga nyumba halafu siku nife ndugu zangu wajitie kunijengelea, walahi wabilahih nitaammka niwachape bakora kwa ujinga huo. Wakishindwa kunizika mavumbini waniache hata porini niozee huko.
Kamama nitakufia katika ajali ya moto itakua vema nitakua mavumbi haraka. R.I.P in advance kwa mwili wangu.
Wewe Umeamka. And you will always stay WOKE!
Nashangaa sana watu ku invest lots of money kwenye mazishi yao.
Unakuta watu wanaenda kuchongesha Sanduku la Milioni 20, Suti Milioni 10 , ... yaaani what the hell wakati huo huo kuna watu walio hai wanakufa Njaa.
unaenda kugharamia kitu ambacho kinaenda kuwa funza na minyooo na chakula cha mchwa.
Albert Einstein said ,
-Two things are Infinity in this world; the Universe and Man’s stupidity.
But I am not so sure about the universe being infinity.
-
Kuna binadamu wengi sana wanaliwa na wanyama kama simba na hawaonekani tena, wengine wanapotelea Baharini na hawaonekani tena kama wale watu waliofia Nungwi wakiwa wanaelekea Pemba. Meli haikuonekana wala miili haikuonekana. The universe is trying to show us the terror and dark side of this life, and our body as a vessel has nothing to do with us.
Kuna mtu kacomment afe kifo kizuri..... ni mafundisho ya hovyo .
There is no such a thing kifo kizuri au kifo kibaya , there is only one Thing.... DEATH
Ukiliwa na Mnyama that is fine, Ukifia juu ya kifua cha KIMADA wakati unapiga bao that is fine and there is nothing wrong about that and it is good thing to happen , ukifia home that is fine too.
So we have to train our minds to accept the terror of this life, and it is better to die consciously yaani ufe while you know that this is my death, than dying like an animal
-
... unakufa halafu hujui kama unakufa ... just because you having been denying death all along , that is bad and it means you did not live the life badala yake ulikuwa ni muoga kwa vitu ambayo ni lazima kikuadabishe when your time is due.
-
I like your perspectives! Ni mtazamo chanya na wenye uhalisia