Siku ya Kifo Changu

Siku ya Kifo Changu

"Do you afraid....."
"I am afraiding....."

Hiki Kiingereza cha hivi wenzetu mlifundishwa na walimu wa wapi?
ambao walifundishwa na nani aliefundishwa na nani na wapi?
Lazima udhaifu huu ilianzia chini ukalelewa.

Argrrrrr!!! kichefuchefu😕
 
Ni kweli kila mmoja wetu atakufa na kwa mtu yeyote aliye makini ni lazima siku moja utajaribu kuimagine siku hiyo ya kifo chako itakuwaje na huku nyuma mambo yatabaki vipi? Lakini ni ukweli usiopingika kwamba marehemu huwa hana mamlaka na mwili wake bali wafiwa ndio wenye mamlaka, hivyo kuna mambo unaweza kuagiza lakini yasitekelezwe!

Mfano: Huwezizuia watu wasikulilie pindi utakapokufa, kilio huja kutokana na hisia za huzuni pale watu wanajaribu kukumbuka katika umuhimu na uwepo wako!

Pia huweziamrisha watu watawanyike masaa 7 tu baada ya kifo chako maana huwezijua utakufa lini na utafia wapi na wakati unakufa je wale ndugu muhimu kama Mama, Baba, kaka,dada, mke, watoto watakuwa karibu nawe? Hawa ndio wataamua uzikwe wapi na uzikwe lini!

Hiyo pesa uloanza kujiwekea nashauri usiiweke bali kama unaishi katika nyumba yako mwenyewe basi tenga chumba maalum, kanunulie sanduku unalotaka kuziwa nalo na vingine vyote uhifadhi humo ili siku ya kifo chako wavichukue na kuvitumia, lakini ukiacha pesa zitachukuliwa na hazitatumika bali michango ya watu ndo hutumika kufanikisha hilo suala, kwanza siku hiyo hata mkeo tu hawezi kabisa kuwa na nguvu hata ya kuinuka kwenda huko benk, chezea kufiwa na mtu wa tegemeo kwa familia kama baba wa familia huwa si mchezo!
 
Naunga mkono hoja hapo post #43.

Jukumu lako wewe ni kufa tu mengine tuachie wanaobaki, kulia au kutolia, kupiga bia au kutopiga bia, kutawanyika ama kukaa hilo wataamua wao kulingana na mazingira ya wakati huo.

Umeandika meengi what if ukipotea kwenye ajali ya ndege kama ile ndege ya Malaysia ?

Nikirudi kwenye mada, kifo ni bayana.
 
Kwakweli kama hakutakuwa na pombe kwenye msiba wako sifiki mimi.
 
Kwenye mali za baba yao? Hawakuambulia hata soks hata kijiko. Yuko mtoto wa nje ya ndoa ndo alijimilikisha vyote....
Pole sana ndugu,wewe ndio ulikuwa kwenye ndoa?na kama ulikuwa kwenye ndoa inamaana familia ilikuwa inakutambua ilikuwaje wafanye hivyo?

2)ni kabila gani hilo unaweza tushirikisha tuka litambua?
 
Baada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO...
Hii mada dah nimeipenda sana
 
Kifo ni lazima,ila ukishakufa yatakayoendelea huku nyuma hutajua chochote! Ni suala la kuishi kwa wema na kujiandaa..unaweza kusema hivi ukiwa hai ukifa ndugu na jamaa wataanza kwenda kinyume na maagizo yako..
 
"Do you afraid....."
"I am afraiding....."

Hiki Kiingereza cha hivi wenzetu mlifundishwa na walimu wa wapi?
ambao walifundishwa na nani aliefundishwa na nani na wapi?
Lazima udhaifu huu ilianzia chini ukalelewa.

Argrrrrr!!! kichefuchefu😕
Kingeeza cha hovyooooo
 
Mimi nikifa sitaki mambo mengi nichomwe moto tu, ila Kama haiwezekani Basi nifukiwe tu futi sita bila mambao Wala manguo... Raw and unsugarcoated!

Kama ulikuwa hujui mtu akifa funza na minyoo wanaingia ndani ya mwili(Mzoga) na kuchukua nutrients zote mtu alizokula na kuzirudisha tena ardhini ambapo udongo unautumia tena Kama rutuba... Ni proper system ya recycle ndio sababu nikiona mtu anajengewa na masimenti kwenye kaburi nachukizwa saana sababu naona Kama watu wanajaribu kuidhibiti nature isifanye kazi yake.

Death is inevitable!
 
"Do you afraid....."
"I am afraiding....."

Hiki Kiingereza cha hivi wenzetu mlifundishwa na walimu wa wapi?
ambao walifundishwa na nani aliefundishwa na nani na wapi?
Lazima udhaifu huu ilianzia chini ukalelewa.

Argrrrrr!!! kichefuchefu😕

Kwa uandishi wako tu, it is obviously wewe ni MJINGA. I advise you to go and read Common Mistakes in English.
 
Na hatuwezi kufa pamoja . Hata nikisafiri, ataanza mke , then Mimi kisha watoto au Mimi naondoka na mtoto 1 yeye ataondoka alone au na mtto mwingine then we meet at destinations point.

To avoid Hizo coincidences
Hili jambo watu wengi hawalitilii maanani, unakuta familia nzima wanasafiri kwenye chombo kimoja cha usafiri, ikitokea bahati mbaya mnaondoka wote kwa pamoja
 
Nani kasema?
Hizo ni rejea za shaiisha anachokusudia kusisitiza mtu na hakuna mwenye hati miliki ya maandiko takatifu.
Una shida mahali, jichunguze.

Mimi ndio nasema. You are not required to quote any verses from scriptures.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom