Siku ya Kifo Changu

Siku ya Kifo Changu

Sio banian lakini nataka majivu yangu yakamwagwe baharini.

Nani ahangaike na taabu yote hiyo??

1--- kuni na mafuta ya kuchoma mwili wako.
2--Jiko la kuchomea mwili.
3---Nani atayeweka mwili jikoni kupiga kiberiti na kuchochea.
4---Nani atakayekusanya jivu na kwenda kulitupa Baharini.

Kwa mila na tamaduni za kiafrika hayo ni mambo magumu mno kwani hatujazoea na mbaya zaidi Waafrika tulio wengi tunaogopa sana maiti.

Wewe utazikwa tu maadamu ardhi ya kuzikia haijaisha huku kwetu.
 
Watalipa watu wafanye hiyo kazi. Nitagaramia
 
Watalipa watu wafanye hiyo kazi. Nitagaramia

Kwani wewe unapenda mwili wako uchomwe moto??? au unadhani siku ya qiyama Mungu atakupunguzia adhabu ya moto kwa makosa uliyoyafanya hapa duniani??, ni roho yako ndiyo itakayochomwa siku ya qiyama.
 
Kwani wewe unapenda mwili wako uchomwe moto??? au unadhani siku ya qiyama Mungu atakupunguzia adhabu ya moto kwa makosa uliyoyafanya hapa duniani??, ni roho yako ndiyo itakayochomwa siku ya qiyama.
Ndio napenda. sipendi kufukiwa
 
Yale yale, imekuaje sasa woga wa kufa umekupata???!!

Mimi sijangaza kifo changu, wewe umeanza kufanya matayarisho na mbaya zaidi siku utaijua na unataka uzikwe NUSU UCHI.

Ha ha Uoga no no no, man , Vocabulary ya Uoga kwenye maisha yangu haijawahi kuwepo.

So , hutotaka nihudhurie Chief kwenye msiba wako.

I can’t imagine mdau wa JF analeta uzi hapa wenye kichwa cha habari R.I.P Mokaze

Hebu imagine kitu kama hicho Mkuu dah
 
Mimi naogopa kifo muda huu kwasababu sijafanya amali za kutosha kama ticket ya kwenda peponi, mimi naamini juu ya pepo na moto, all in all why should I fear death which will obviously overtake me and all of us, it is an inevitable journey??!, afterall how can I enter pepo without dying??--- I have to die to see the blissful paradise.šŸ¤“
 
Nilipoenda Hospital, I think those days nilikuwa mwaka wa 1 kwenye medical Field Chuo, nilienda kumpeleka mzee wangu pale Mount Meru, tulipofikisha maiti pale, wakailaza chini, ambapo kulikuwa kama kuna maiti kama nne hivi Jamaa wa mochwari anazirukaruka kama anavoruka madibwi.

Akasema toeni elf 50 tupige dawa iwekwe kwa jokofu.tukafanya hivo. I was curious, what the hell na hizi maiti zilizolala hapa chini ? Wakasema hazikuhusu But kwa kukusaidia tu , hawa hawana hela za Dawa . Yaani I could not understand the scenario.
Wanaofanya kazi mochwari Wana roho ngumu.
 
Huruhusiwi ku quote any verse from scriptures maana huu Sio Uzi wa kidini. No Bible nor Quran. Maana nyie watu soon mta deviate hii mada na kuanza mabishano yenu yasiyo na mwisho
Wewe ni Atheist??.
 
Kifo hakina huruma,wala ujanja ujanja,siku ikifika tunaenda tu,yani hatukwepi kitu hapo.
Hata mtoa mada tutamfanyia tunachotaka km vile kumuosha,wekea dawa ya kuzuia kuoza,kulia,kumvika sanda,kumfanyia matanga,n.k. hata km amekataa na hata kuwa na uwezo wa kutukataza.
 
Kwanza mimi nataka niwekwe kwenye mafriji hata wiki, kisha sitapenda watu walie, na zaidi watu wapige urabu kwa kwenda mbele, na after a week nichomwe moto uwanja wa wazi na majivu yakamwagwe kwenye kijito au mto unaotiririsha maji kwa speed ,
Majivu yako yatatuchafulia maji yetu.
 
Jaman naombamuendelee kujadili mwenzenu yanatosh niliyoyasoma hapo juu ambayo mmechangia nawashukuru
 
Mimi naogopa kifo muda huu kwasababu sijafanya amali za kutosha kama ticket ya kwenda peponi, mimi naamini juu ya pepo na moto, all in all why should I fear death which will obviously overtake me and all of us, it is an inevitable journey??!, afterall how can I enter pepo without dying??--- I have to die to see the blissful paradise.

It’s true . I agree with you. Kuna mdau nilimjibu hapo , ikiwa unajifanya wewe ni Muumini na unampenda sana Mungu, then nilazima pia ujifunze kutamani mauti.

Kama unayachukia Mauti , and unajikuta unapiga kelele kuwa unampenda sana Mungu , basi jua wewe ni Mamluki Na kinachokufanya umpende Mungu ni huruma na woga.

Unfortunately, death has been prescribed to each of us, na huu uzi ni revelation from unknown to spread the TRUTH the evidence support.
 
Back
Top Bottom