Siku ya Kifo Changu

Siku ya Kifo Changu

Jaman naombamuendelee kujadili mwenzenu yanatosh niliyoyasoma hapo juu ambayo mmechangia nawashukuru

Kitu pekee kinachonipa huzuni in my life, ni kuona binaadamu ana kufa.

Katika maisha yangu , Kama ningepewa idhini ya kuchagua, hakika nisinge chagua kuzaliwa katika hii dunia ya mateso na maumivu. I worked in Cancer institute for couple of years, and experienced so many painful things for the humans

Living while you already known that you will die, ni maumivu makibwa kuliko maumivu yoyote. It is so painful to be born into this world of uncertainty.

Binadamu ndio kiumbe kinachoishi huku kikijiattach na maendeleo na mafanikio ilihali ya kuwa kinajua kuwa kitakufa for sure.

Animals just die muda ukifika, they don’t hold the thought of death as we do.

We have been really tested, and my fellow human being , always do the best and right thing to your fellow human being regardless of their faith, political ideology, race etc etc.

, don’t kill small organisms such as insect , they have families and they need to live too just as you need to live.

The only teaching that I have come to respect is Buddha teachings, they are very close to truth.

No sword, no war, no bloodshed iliyotumika kusimamisha misingi ya kibudha.

Ni dini gani ambayo imesimama bila ya Vita, bloodshed au upanga...? I don’t find except Buddhism.... and I am not even a Buddha
 
Sio kwamba hofu ya kifo ni asili ya binadamu?
Eros vs Thanatos
 
siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?
Hivi kwanini hamuwahoji wakufunzi wenu kuhusu wanayo waambia ? Nyinyi mnakuwa kama bendera hufata upepo.
 
Wanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitaludije
Kuna vitu tumepewa laiti kama tungekuwa tunavitumia vizuri kuna ujinga tusingekuwa tunauandika. Kama mbegu inapandwa na kufukiwa kisha inachipua na kutoa matunda au mfano wake, vipi liwe jambo kubwa ya kuwa ukichomwa usiweze kurudi katika umbile lako, hili ni sahali sana kwa Mola wetu muweza.
 
Hivi kwanini hamuwahoji wakufunzi wenu kuhusu wanayo waambia ? Nyinyi mnakuwa kama bendera hufata upepo.

Kuwahoji nini ? Huo upepo unafuata Bendera ya Tanzania au ya Kenya ? Be specific
 
Na hatuwezi kufa pamoja . Hata nikisafiri, ataanza mke , then Mimi kisha watoto au Mimi naondoka na mtoto 1 yeye ataondoka alone au na mtto mwingine then we meet at destinations point.

To avoid Hizo coincidences
Akili fupi hii
 
Back
Top Bottom