Siku ya Kifo Changu

Huyu amewapuguzia mzigo,masharti yake ni nafuu sana.
Ninyi mnatuamrisha mara tuwafanyie hivi mara tusiwafanyie vile wakati siku hiyo mtakuwa marehemu!??? Tulieni hivyohivyo, tutafanya yetu kadiri tutakavyoamua sie, OK!???
 
Bibi unapiga nota ?
Nipate shule
 
Kwenye mali za baba yao? Hawakuambulia hata soks hata kijiko. Yuko mtoto wa nje ya ndoa ndo alijimilikisha vyote.

Hawa watoto wa nje ya ndoa ni hatari.

Nazidi kumngojea Mungu aje aamue mwenyewe.

Mama fanya maamuzi; God will never come to help, you will be waiting for something never to happen. Amua Sasa you have all the means to help yourself.

Halafu nyie watizedi, tabia ya kuishi na mwenza wako bila ya kuwa na effective communication ni hatari. Halafu pia mnatakiwa kuwa open kwa mambo ya mali na fedha, jengeni hiyo tabia vinginevyo mtatesa watoto Na mali nyingi zitapotea
Kama huwezi kuwa open kwa mwenza wako, achana na huyo mtu, tafuta saizi yako . Mapenzi ya wabongo bhana , ni Uongo uongo na Ujanja ujanja, baadae gharama yake ni kubwa.
Mimi hata nikichepuka namwambia mwenza wangu, in my life nilishawahi kuchepuka wakati yupo mjamzito , alipojifungua baada ya kuwa sawa nilimwambia ; it was one night stand and then nikajutia. Sikutaka tena kurudia hiyo tabia. Ilimuuma lakini pia she always thank me for being honest.


Sasa nyie watizedi mnatakiwa kujifunza kitu inayoitwa Truth and Transparency kwenye mahusiano. Halikadhalika, Mnatakiwa pia kujadili what if one of you akatangulie, je kila kitu kipo sawa kwa muktadha wa mgawanyo na mustakabali wa watoto, je interaction ya ndugu imekaaje.

Acheni mambo ya Ujima eti kujadili Hayo mambo ni kujichulia.... acheni hiyo mambo amukeni. Kuwaza hivo ni sawa na kujaribu kukikimbia KIVULI chako !
 
People fear death even more than pain. It’s strange that they fear death. Life hurts a lot more than death. At the point of death, the pain is over....!

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Mnaoachiwa mliobaki huwa mnakawa na mambo mengi sana yasio na tija na yenye kutaabisha watoto,mke,mume,wazazi wa marehemu
 
Itakusaidia kuzikwa kwa sheria zote za Kiislamu?
Wengine sisi ni wachimbaji, tunaweza kufia kwenye makurukunta huko na ikawa mwisho wa show yetu

Ila ikitokea nikafia uraiani basi nizikwe kwa sheria zote za kiislam.
 
Itakusaidia nini kuzikwa kwa taratibu za dini yako?
Mimi kifo najua kipo na kitakuja tu...hakina siku saa.
Hivyo Basi...najiandaa na maisha baada ya kifo ambayo naamini yapo.

Nachoomba nife Hali ya kuwa Mola want yu radhi nami.

Kuzikwa nizikwe kwa taratibu za Dini yangu..ya uisilamu.

Hivyo yaani
 
Mimi ndio nimeagiza. Na Mimi ndio nitakuwa nimekufa. Mimi familia yangu marhemu wote wanasikilizwa kwa yale yote yanayotekelezeka. Kwanza Mimi ndio nimekufa why mnipangie nyie namna ya kunizika
Na wewe kwanini unipangie mimi kunywa pombe nikija kukuzika?kwani utaninunulia wewe marehemu?si ninakunywa kwa hela zangu?au umesikia hizo bia tunalipa kwa rambi rambi?

Nitakachofanya kama maeehemu unanidai nitalipa kwanza deni, kisha naita kreti ya bia kukusindikiza kuzimu
 
Huwa nawaza ili swala mpaka nakosa majibu
 

Ha ha
 
Read the Bible...

This is the only problem of Faith . Muslims nae atasema read the Quran. Jews atasema read the Torah

Sasa dont comment here regarding the verses
 
Yaani unafanana na mue kwa kila kitu,mimi sitaki hata kuagwa,au eti kusomewa historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…