hapo namba 10..wakianza kufa wao vipi?
Unajitabiria kufa, kifo kitakufuata badala ya kumuomba Mungu uishi kwa lile dhumuni lake la kutuleta duniani ili tumuabudu. Tunaishi kwa imani na imeandikwa Zab 118:17 sitakufa bali nitaishi...... Muombe Mungu uishi maisha marefu na mazuri umtukuze huku ukisifu matendo yake makuu.Ndugu zangu wote na marafiki zangu wote wanajua kuwa siku yakufa kwangu nizikwe kwa kutumia kitanda ninacho lalia na mke wangu. Fedha yajeneza mnunulieni kitanda kipya na godoro. Wekeni pilo ya pili kando yangu ili akifa mfungue kaburi mmlaze tu hapo kando mrudishie mfuniko.
Kaburi natarajia kulichimba na kulijengea mwenyewe tiyari kwa maziko yangu
HahaNa hatuwezi kufa pamoja . Hata nikisafiri, ataanza mke , then Mimi kisha watoto au Mimi naondoka na mtoto 1 yeye ataondoka alone au na mtto mwingine then we meet at destinations point.
To avoid Hizo coincidences
Mkuu emb soma signature yanguWanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitaludije
Unajitabiria kufa kifo kitakufuata badala ya kumuomba Mungu uishi kwa lile dhumuni lake la kutuleta duniani ili tumuabudu . tunaishi kwa imani na imeandikwa Zab 118:17 sitakufa bali nitaishi ......Muombe Mungu uishi maisha marefu na mazuri umtukuze huku ukisifu matendo yake makuu .
mkuu emb soma signature yangu
au ngoja nikurahisishie
“Does man think that We will not assemble his bones?
Yes. [We are] Able [even] to proportion(Reconstruct) his fingertips.”
Qur’ān 75:3-4
Unajitabiria kufa kifo kitakufuata badala ya kumuomba Mungu uishi kwa lile dhumuni lake la kutuleta duniani ili tumuabudu . tunaishi kwa imani na imeandikwa Zab 118:17 sitakufa bali nitaishi ......Muombe Mungu uishi maisha marefu na mazuri umtukuze huku ukisifu matendo yake makuu .
Ni kweli Maiti hazina hela. Hela wanakua nazo walio haiNilipoenda Hospital, I think those days nilikuwa mwaka wa 1 kwenye medical Field Chuo, nilienda kumpeleka mzee wangu pale Mount Meru, tulipofikisha maiti pale, wakailaza chini, ambapo kulikuwa kama kuna maiti kama nne hivi Jamaa wa mochwari anazirukaruka kama anavoruka madibwi...
Nani kasema?Huruhusiwi ku quote any verse from scriptures maana huu Sio Uzi wa kidini. No Bible nor Quran. Maana nyie watu soon mta deviate hii mada na kuanza mabishano yenu yasiyo na mwisho
Watoto jeSitaki niwekwe mortuary namwogopa Mshana Jr atanibaka...