Siku ya Break up!

Sijui kwanini nimecheka basi tu.
cute b
 
Haipunguzi machungu ila inarudisha hadhi ya kiume!
 
Hamna bwana wengine tunawapenda wengine tunabuy time tukiwasubiri tuwapendao
Unaweza kumuambia?as in ""Mr. Man",ujue sio kwamba nipo deeep kihivyo,tupeane raha tu ila mi niko mguu mmoja nje.nikipata ninaempenda nasepa"???
 
Haya maisha sijayapitia kwakweli, kuna wakati nahisi hata experience yangu ni ndogo juu ya wanaume.Alienipenda alinipenda nkashindwa kuchomoka mpka leo ndo mume.
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Pole sana. I can feel your pain. Ila nafasi bado ipo. Piga moyo konde. Utampata wa kukufaa
 
Hata mimi nashuhudia hii bangi uliyoandika hapa
 
Alikupiga fix hizo sio sababu halisi.
 
Ndo yalivyoo mapenzi. Now hakuna MTU utadate nae hajawahii Kuumizwaa...So ni kumove on tu!
Hivi mnaosema kila mtu kawahi kuumizwa huwa mna uthibitisho gani? Kwani ni lazima kila mtu awe kaumizwa kwenye mapenzi?!
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
njoo kwangu cheupe nikupe tulizo la moyo.
 
We jamaa upon vizuri
 
mnaong'ang'ania mpaka mnaachwa acha muumie, tena hasa wanaume, unaona kabisa sehemu ulipo siko, unakazana kubembeleza kana kwamba huoni wengine mpaka siku upewe za uso
inashangaza sana aisee ... kuna watu namna ya kusikia kwao ni namna ya kenge" mpaka watoke damu masikioni
 
 
Hatare sana mkuu, kwa hii kipande hii umevunja mbavu zangu "navuta bangi kama mbuzi na majani".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…