Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
sijaona swali kaka
LAKINI SHOW ZA KIBABE UNAENDELEA KUTOA?[/QUOTE
LAKINI SHOW ZA KIBABE UNAENDELEA KUTOA?[/QUOTE
Daaah hii nzuriheheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani
.
.huwaga sisubiri mpaka niachwe" bali natengeneza mazingira ya kuachana ili tutoke ngoma draw" ... Huwa nakaa kimtego mtego" Asipo nipigia na mimi simpigii" Asipo nitext na mimi simtext"... nikimtafuta hewani mara 1 then ikawa ha-respond basi sijishughulishi kumtafuta tena" mpaka atakapo nitafuta yeye" cause missed call yangu siameiona bwana".... ikitokea akapiga kimya kwa muda wa siku 3,.. basii nafuta namba yake kabisaa' ili nisije pata mshawasha wakumpigia"...
that's all
Upo kama mm tu yaanheheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani
.
.huwaga sisubiri mpaka niachwe" bali natengeneza mazingira ya kuachana ili tutoke ngoma draw" ... Huwa nakaa kimtego mtego" Asipo nipigia na mimi simpigii" Asipo nitext na mimi simtext"... nikimtafuta hewani mara 1 then ikawa ha-respond basi sijishughulishi kumtafuta tena" mpaka atakapo nitafuta yeye" cause missed call yangu siameiona bwana".... ikitokea akapiga kimya kwa muda wa siku 3,.. basii nafuta namba yake kabisaa' ili nisije pata mshawasha wakumpigia"...
that's all
Kabisa mkuuu....Niliomba kukutana nae siku hyo baada ya conflicts kibao, anafika sehem ya tukio bila simu, yani kaiacha kwa rafik ake... nikaona hapa tayar kashanogewa na jama wa kando kiasi hata texts zao hataki kuzifuta tena kwny simu so akawa anaiprevent mm nisiione
Nlichofanya kwasabab nlmpenda sana na alkua ananiuma kumuacha.. nkamtia mkofi mmoja akalia kama mbuzi... then nikaepa mbele ya safar nikamtumia msg “guess who won Oscars? Me... kesho yake nimeblockiwa kila mahali nikaona frsh tu.. ila madem wapende hata ulie siku anakubwaga tu
Mmmmh Mkuu kweli hujawahi kupenda tena😀😀😀.Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
sijawahi mkuu. Natamani tu MTU siku mbili tatu naona hamna mapenzi natokaMmmmh Mkuu kweli hujawahi kupenda tena😀😀😀.
Hivi umetumia strategy gani? nipe uzoefu Mkuu
Kabisa mkuuu....
Ha ha ha ha haaaaaaa umenifurahisha sana Mkuu, sasa baada ya mwaka si utakuwa na msululu wa watu wengi waliogegeda?sijawahi mkuu. Natamani tu MTU siku mbili tatu naona hamna mapenzi natoka
Kugegedana hapana. Naangalia. Kutoka na MTU haimaanishi kugegedana mkuu. Toka mwaka uanze nimeonana na mwanaume mpya mmoja tu. Wengine tunaishia juu juu basiHa ha ha ha haaaaaaa umenifurahisha sana Mkuu, sasa baada ya mwaka si utakuwa na msululu wa watu wengi waliogegeda?
Bora komaa na mmoja kibishibishi tu😛😛
bila ya kuwa na hizi elements utakuwa unalia kila siku ".... tunapaswa kujufunza kujipenda sisi wenyewe kwanza" kabla hatujaamua kufungua mioyo yetu na kuwaweka watu wengine ndani yake". tunapaswa kujionea huruma pia".... kinyume na hapo Ukubali kuwa mtumwa tu wa mapenzi"...Upo kama mm tu yaan
Hata asipokua committed Mimi nikimpenda atanipenda. Tatizo langu kubwa sio MTU wa kunipend ni MTU wa Mimi kumpenda
Sijapata badoAisee hebu nakuja PM tyajenge yaani watz wote haujapata mtu wa kumpenda !!!!???
Niliomba kukutana nae siku hyo baada ya conflicts kibao, anafika sehem ya tukio bila simu, yani kaiacha kwa rafik ake... nikaona hapa tayar kashanogewa na jama wa kando kiasi hata texts zao hataki kuzifuta tena kwny simu so akawa anaiprevent mm nisiione
Nlichofanya kwasabab nlmpenda sana na alkua ananiuma kumuacha.. nkamtia mkofi mmoja akalia kama mbuzi... then nikaepa mbele ya safar nikamtumia msg “guess who won Oscars? Me... kesho yake nimeblockiwa kila mahali nikaona frsh tu.. ila madem wapende hata ulie siku anakubwaga tu
umenichekesha sana mkuuWapi huko mkuu hadi Leo unachaguliwa mke???Nashukuru kuzaliwa ambako hakunaga kupendana!! huko hata baba anaweza akafanya mipango uko zako nyumbani huna hili wala lile unashangaa umeletewa mke na ndo umeoa hivyo. Hainaga mjadala wa kupenda na kutokupenda. Nyie mnaodhani watu wanapendwa endeleeni kuhadithia maumimivu. Halafu huko kwetu hakunaga kuachana ukishalipa mahari hata aende wapi huyo ni wako milele.
Oooooh nilipo achwa nilijisikia vibaya!!! Kwetu hamna .