Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

Juliana ni mshenzi maana yeye ameishagundua mama yake ana uhusiano na bitungu.Alitakiwa either awaambie wote na tena aachane nae huyo bitungu
Shida ni utamu mama, mama yake mwenyewe kamuacha mumewe ujueeee! bitungu ni bitunguli
 
Hata kama ni utamu wa asali siwezi kushare na mama bora nimuachie tena hata asingejua kuwa nilishawahi kutembea na bitungu yani ningebadilisha number kabisaa na wala nisingemwambia kuwa katuchanganya
 
Utamu usingeutaka tena? vipi wivu maana ni kidonda
 
hizi siasa sasa!!! ulianza vizuri na wewe umeanza kuwa kama wengine
 
Kutokana na mda kuwa mchache mungu akipenda nitatililika na hii hadith hapo muda unaporuhusu(Mchepuko ni noma)
 
Hata kama ni utamu wa asali siwezi kushare na mama bora nimuachie tena hata asingejua kuwa nilishawahi kutembea na bitungu yani ningebadilisha number kabisaa na wala nisingemwambia kuwa katuchanganya

Ndugu yangu hachana na hii kitu, utamu ukikolea mama yako kwa ili umwelewi.
 
Hadithi nzuri ila muendelezo ndo nina mashaka nao.... Daudi1 jitahidi utushibishe njaa umeianzisha mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom