Wasanii wawili watakuwa wamekutana, kila mtu atatabasamu sana na kupeana mikono ya nguvu utafikiri wanapendana kumbe ndani ya mioyo yao hasira na chuki vinachemka.
Hata siku moja usimwonyeshe weakness ya aina yoyote adui wako, akijua atakumaliza.
EL Anamfahamu fika mwanakijij-sema el ana hamu kubwa aonane naye ili amsaidie adhma flani waliyonayo,kuna kundi jipya linaitwa RUNGU,ACHANA NA MTANDAO,hawa ndio wana nguvu kubwa katika serikali hii..kuna kapuya,shekifu,mama sophia simba,brother ditto-the killer,muungwana pamoja na rostam,ila wengine ambao ni mtandao wanajikomba,ila list hiyo hata wafanyeje hawatang'oka!wao ni watu wa madili tu na hakuna utendaji,na wana tabia ya ukimya
Mwanakijiji atakatiwa mshiko wa nguvu (Rushwa). Pia atapewa password ya website yake ambayo EL alishamtengenezea ili asitumie vi-blogu.
Hatua ya pili ni kuwa Mwanakijiji atarudi JForums na kukaa kimyaa, mara moja moja ataandika hoja za kumpigia debe EL!!
Mwaka 2015 atateuluwa kuwa mkurugenzi wa kampeni za uchaguzi za EL, baada ya hapo who knows?, Wazari wa habari, au atakuwa namba 2 katika hiyo Sirikali ya awamu ya tano??.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.